profile-img
Samia Suluhu

@SuluhuSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,2K Tweets

1,6M Followers

27 Following

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.

Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa
account_circle