Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile
Dodoma_Zone

@dodoma_zone_

official Twitter Page Of Dodoma_Zone©

ID: 4208433315

calendar_today17-11-2015 08:50:47

34,34K Tweet

23,23K Followers

97 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa.

Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko, baada ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024.

Waziri Mkuu, <a href="/KassimMajaliwa_/">Kassim Majaliwa Majaliwa</a> akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko, baada ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Septemba 6, 2024.
Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo kutekeleza kwa vitendo na kuiishi falsafa ya R nne (4R) ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kufikia malengo yaliyokusudiwa.

DKT. BITEKO AHIMIZA NGOs KUPEWA USHIRIKIANO KUTATUA CHANGAMOTO ZAO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali mwaka 2024 lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

DKT. BITEKO AHIMIZA NGOs KUPEWA USHIRIKIANO KUTATUA CHANGAMOTO ZAO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali mwaka 2024 lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc (@ridhiwankikwete) 's Twitter Profile Photo

Nimelieleza Bunge kuwa serikali inaendelea kuwezesha vijana wahitimu wa ngazi mbalimbali za Elimu kuwa na uzoefu wa kazi pamoja na sifa nyingine za kujiajiri ndani na nje ya nchi kwa kutekeleza Program mbalimbali za mafunzo ya Uzoefu wa kazi ikiwemo Internship, mafunzo ya

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Katika ziara ya kazi na yenye mafanikio kwa nchi yetu nchini China, nilipata pia wasaa wa kuzungumza na ndugu zetu Watanzania waishio China wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara. Jamii za Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) zina mchango mkubwa kwa familia na

Katika ziara ya kazi na yenye mafanikio kwa nchi yetu nchini China, nilipata pia wasaa wa kuzungumza na ndugu zetu Watanzania waishio China wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara. 

Jamii za Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) zina mchango mkubwa kwa familia na
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma 🇹🇿🇬🇧 ◾SERIKALI INAENDELEA KUWEKA MIKAKATI MBALIMBALI KATIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO YA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za

📍Dodoma

🇹🇿🇬🇧

◾SERIKALI INAENDELEA KUWEKA MIKAKATI MBALIMBALI KATIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO YA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI

Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za
𝗔𝗯𝗲𝗿𝘁𝘂𝘀 𝗣𝗮𝘀𝗰𝗵𝗮𝗹, 𝗔.🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Seoul, Korea Kusini 🇹🇿🇰🇷 ◾MAWAZIRI BASHUNGWA NA NDEJEMBI ZIARANI KOREA KUSINI. Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa (Bash) (Mb), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deo Ndejembi (Mb) pamoja na Maafisa wa Wizara hizo, wamewasili jijini Seoul nchini Korea Kusini na

📍Seoul, Korea Kusini

🇹🇿🇰🇷

◾MAWAZIRI BASHUNGWA NA NDEJEMBI ZIARANI KOREA KUSINI.

Waziri wa Ujenzi, Mhe. <a href="/innobash/">Innocent L. Bashungwa (Bash)</a> (Mb), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. <a href="/Ndejembi/">Deo Ndejembi</a> (Mb) pamoja na Maafisa wa Wizara hizo, wamewasili jijini Seoul nchini Korea Kusini na
Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach Tanzania iliyofanyika katika kanisa hiloeneo la Sakina mkoani Arusha tarehe 07 Septemba 2024.

OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemitz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA IMEFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza kiwango cha vifo vya Wajawazito vinavyotokana na matatizo ya uzazi kutoka wastani wa Vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2015/2016) hadi kufikia wastani wa vifo 104 kwa

TANZANIA IMEFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO

Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza kiwango cha vifo vya Wajawazito vinavyotokana na matatizo ya uzazi kutoka wastani wa Vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2015/2016) hadi kufikia wastani wa vifo 104 kwa
Makamu wa Rais Tanzania (@vptanzania) 's Twitter Profile Photo

DONDOO; Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa

Dodoma_Zone (@dodoma_zone_) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni (Mb) alivyowasili na kusalimiana na Bw. Ally Gugu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Wakuu wa Vyombo vya Usalama katika Semina Elekezi Kwa Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.