Irankunda®🇷🇼 (@cosmasjn) 's Twitter Profile
Irankunda®🇷🇼

@cosmasjn

Uwutazi aghakula, aniga umutavu!

Listen to Crown FM - onlineradiobox.com/tz/crown/

ID: 739154877876736000

linkhttps://cmhs.ur.ac.rw/ calendar_today04-06-2016 18:00:30

72,72K Tweet

878 Followers

1,1K Following

Godwin Grounder (@godwinshuma2) 's Twitter Profile Photo

mkurugenzi wa Grounders_Grounders na Mwenyekiti wangu wa BAVICHA Temeke Ndugu DEUSDEDITH SOKA mpaka Leo siku ya 37 cjui alipo, waliopewa dhamana ya kumtafuta wapo bize kuzima vilio vya wenye haki, Hakika huyu Mungu aishivyo haya machozi yatakula mpaka vitukuu vyenu. #freeOurYouth

mkurugenzi wa <a href="/Grounders_/">Grounders_Grounders</a> na Mwenyekiti wangu wa BAVICHA Temeke Ndugu <a href="/DEUSDEDITHSOKA/">DEUSDEDITH SOKA</a> mpaka Leo siku ya 37 cjui alipo, waliopewa dhamana ya kumtafuta wapo bize kuzima vilio vya wenye haki, Hakika huyu Mungu aishivyo haya machozi yatakula mpaka vitukuu vyenu. #freeOurYouth
EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#SupaBreakfast: ''Wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA na viongozi wote ambao tulikamatwa kuanzia juzi tumeachiwa, isipo kuwa Boniface Jacob'' - Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu, Chadema (Bara) Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya

#SupaBreakfast: ''Wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA na viongozi wote ambao tulikamatwa kuanzia juzi tumeachiwa, isipo kuwa Boniface Jacob'' - Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu, Chadema (Bara) 

Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya
GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Ripoti Fupi Kuhusu Kesi aliyofungua Mh. Tundu Antiphas Lissu dhidi ya Tigo yani iko hivi "TIGO" ilivujisha location na mawasiliano ya Lissu kwa serikali muda wote (24/7).. na Walikua wakiwatumia kwa Njia ya Whatsaap! yani kwakifupi Tigo walimuuza Mteja wao kwa Gavoo... Unakumbuka

Ripoti Fupi Kuhusu Kesi aliyofungua Mh. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> dhidi ya Tigo yani iko hivi "TIGO" ilivujisha location na mawasiliano ya Lissu kwa serikali muda wote (24/7)..

na Walikua wakiwatumia kwa Njia ya Whatsaap! yani kwakifupi Tigo walimuuza Mteja wao kwa Gavoo...

Unakumbuka
Chacha Heche (@chacha_heche) 's Twitter Profile Photo

Paul makonda siku zako za kuingia jela zimekaribia na utashangaa Sana kuwa hakuna atakayekukingia kifua kimataifa Ninaamini na walio nyuma ya mauwaji ya sasa wataibuliwa Mungu Wetu anaishi

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio mwanasheria wa Lisu atakae waburuza Tigo mahakamani. Bila kumsahau MAKONDA. Kwa muonekano tuu sizani kama kashawahi kupoteza PAMBANO.😂🤝

Huyu ndio mwanasheria wa Lisu atakae waburuza Tigo mahakamani.

Bila kumsahau MAKONDA. 

Kwa muonekano tuu sizani kama kashawahi kupoteza PAMBANO.😂🤝
White Eagle Tipster (@eagletip_) 's Twitter Profile Photo

Crown Media Kama huo ndio utakuwa mpangilio wenu wa usomaji habari kwakweli inapendeza sana yaani kama nasikia BBC😁 SASA nimeelewa kwanini KIKEKE aliacha kazi BBC

MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: TANZANIAN OPPOSITION FUGURE TUNDU LISSU ACCUSES REGIONAL COMMISSIONER, PAUL MAKONDA FOR PLANNING HIS DEATH "The then Dar es salaam regional commissioner Paul Makonda (Now Arusha Regional Commissioner) led, coordinated & supervised gunmen to assassinate me while in the

#TANZANIA: TANZANIAN OPPOSITION FUGURE TUNDU LISSU ACCUSES REGIONAL COMMISSIONER, PAUL MAKONDA FOR PLANNING HIS DEATH
"The then Dar es salaam regional commissioner Paul Makonda (Now Arusha Regional Commissioner) led, coordinated &amp; supervised gunmen to assassinate me while in the
Nyambura Moremi (@nyamburamoremi) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa wakati mzuri kupata fursa ya kuwa miongoni mwa Wanawake Viongozi wa Bara la Afrika waliopatiwa mafunzo ya Usalama na Ulinzi wa vimelea (biosafety and biosecurity) yaliyofanyika Dakar, Senegal. Mafunzo hayo ni muhimu katika kujizatiti kuzuia magonjwa/majanga.

Ulikuwa wakati mzuri kupata fursa ya kuwa miongoni mwa Wanawake Viongozi wa Bara la Afrika waliopatiwa mafunzo ya Usalama na Ulinzi wa vimelea (biosafety and biosecurity) yaliyofanyika Dakar, Senegal. 
Mafunzo hayo ni muhimu katika kujizatiti kuzuia magonjwa/majanga.
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

HAKI ZA BINADAMU: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu amedai taarifa alizozipata baada ya kushambuliwa kwa Risasi Septemba 7, 2017 akiwa Dodoma ni kwamba aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Mauaji cha waliomshambulia ni Paul Makonda Amesema wakati huo akiwa Mkuu wa Mkoa wa

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara Tundu Lissu amesema Vijana wawili waliompiga risasi aliwatambua na anafahamu kuwa wapo licha ya kwamba wanahisi hawajulikani lakini muda ukifika atawataja. Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam leo September 25,2024, Lissu

Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Siku chache baada ya Soka kutekwa, namba ya simu ya Soka kutoka kampuni ya Tigo Tanzania ambayo ilikuwa mikononi mwa polisi ilituma huu ujumbe wa mwenyekiti wa CHADEMA Temeke. Huu ni ushahidi mwingine kwamba Tigo walishirikiana na polisi kumteka Soka.

Siku chache baada ya Soka kutekwa, namba ya simu ya Soka kutoka kampuni ya <a href="/Tigo_TZZ/">Tigo Tanzania</a> ambayo ilikuwa mikononi mwa polisi ilituma huu ujumbe wa mwenyekiti wa CHADEMA Temeke. Huu ni ushahidi mwingine kwamba Tigo walishirikiana na polisi kumteka Soka.
Irankunda®🇷🇼 (@cosmasjn) 's Twitter Profile Photo

Hivi nyie mafala mnajua kuwa ishu ya utekaji sio Kwa CHADEMA tu??? Kuna watu wengine wametekwa na hawana vyama vyenu ila CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kutetea uhai wa binadamu wenzao baada ya serikali kudai ni DRAMA.