CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile
CHADEMA Taifa

@chademataifa

Official Twitter Account for Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
P.O.Box 31191DSM,[email protected],

ID: 524307812

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today14-03-2012 12:27:20

715 Tweet

4,4K Followers

65 Following

Salum Mwalimu  (@salum_mwalimu) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha unajiandikisha mahali ulipo na unashawishi wengine kujiandikisha. Toka pitia wengine kajiandikishe. Lazima TUJIANDIKISHE.

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

RATIBA YA KANDA ZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA UKEREWE #JIANDIKISHE4VOTE2015 facebook.com/chademahabari?…

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA facebook.com/chademahabari?…

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BENKI YA POSTA TANZANIA (KUFUTA NA KUWEKA MASHARTI YA facebook.com/chademahabari?…

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO - Mratibu wa Uhamasishaji na Uenezi BAVICHA Taifa Edward Simbey akiwahutubia wananchi wa Mtwara facebook.com/chademahabari?…

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KONGAMANO LA WAZEE WA DAR ES SALAAM JUMAMOSI 4 JULAI 2015 facebook.com/chademahabari?…

MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Suluhu ya kuliepusha Bunge lijalo kufanya maamuzi yasiyo shirikishi wala kulinda maslahi ya nchi ni kuwa na Bunge lisilohodhiwa na CCM!

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

Meza Kuu ikiendelea kuongoza kikao cha dharura cha Kamati Kuu ya Chama iliyokutana leo jijin Dar es Salaam katika -> facebook.com/chademahabari?…

CHADEMA Taifa (@chademataifa) 's Twitter Profile Photo

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA YA POLE KWA WABUNGE MWANAMRISHO ABAMA NA JOSHUA NASSAR -> facebook.com/chademahabari