Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile
Chadema Diaspora

@chademadiaspora

#Tanzania Main Opposition Party in the Diaspora.

ID: 1428644299

linkhttp://chadema.or.tz calendar_today14-05-2013 19:10:57

7,7K Tweet

80,80K Followers

93 Following

Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Chadema Bara, Mh John Heche akizungumza na Wananchi wa Jiji la Dodoma Mkoa wa Dodoma.Ziara ya No Reforms No Election inaendelea Kanda ya Kati. #NoReformsNoElection #FreeTunduLissuNow

davidmcallister (@davidmcallister) 's Twitter Profile Photo

I am deeply concerned by the alarming reports regarding possible attempts to poison Tanzanian opposition leader Tundu Antiphas Lissu in detention. I urge the Tanzanian authorities to ensure his safety, health, and human rights are fully protected. (1/2)

Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile Photo

Leo, Julai 03, 2025, M’kiti wa BAVICHA Kanda ya Nyasa Mhe. Victor Baleke akiwa ameambatana na M’kiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya Mhe. Chonya Elisha wamefanya Kikao cha Ndani na Bavicha Jimbo la Rungwe ikiwa ni mkakati katika utekelezaji wa #NoRefomsNoElection #FreeTunduLissu

Leo, Julai 03, 2025, M’kiti wa BAVICHA Kanda ya Nyasa Mhe. Victor Baleke akiwa ameambatana na M’kiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya Mhe. Chonya Elisha wamefanya Kikao cha Ndani na Bavicha Jimbo la Rungwe ikiwa ni mkakati katika utekelezaji wa #NoRefomsNoElection

#FreeTunduLissu
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Tunapenda kuuarifu umma kuwa leo, Jumamosi, tarehe 12 Julai 2025, Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Bi. Brenda Rupia, amezuiwa kuingia nchini Kenya na kwa sasa anashikiliwa na mamlaka katika mpaka wa Namanga. Tumepokea taarifa za kuaminika kuwa mamlaka zimepanga

We wish to inform the public that today, Saturday, July 12, 2025, our Director of Communications and Publicity, Ms. Brenda Rupia, was denied entry into Kenya and is currently being detained by authorities at the Namanga border. We have received credible information that the

We wish to inform the public that today, Saturday, July 12, 2025, our Director of Communications and Publicity, Ms. Brenda Rupia, was denied entry into Kenya and is currently being detained by authorities at the Namanga border. We have received credible information that the
Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile Photo

Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha #ChademaFamily. #NoReformsNoElection

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA. Kama chama tunalaani kwa nguvu zetu zote tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wetu akiwa katika viunga vya mahakama. Hawa watu wanaoweza kumsukuma Mwenyekiti wetu mbele ya watu, mahakamani kukiwa na camera. Watafanya nini dhidi yake kwenye eneo ambalo halina

TAARIFA KWA UMMA.

Kama chama tunalaani kwa nguvu zetu zote tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wetu akiwa katika viunga vya mahakama.

Hawa watu wanaoweza kumsukuma Mwenyekiti wetu mbele ya watu, mahakamani kukiwa na camera.

Watafanya nini dhidi yake kwenye eneo ambalo halina
Chadema Diaspora (@chademadiaspora) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: John Mnyika|| Tumaini Jipya|| #FreeTunduLissu Atakuwa anazungumza Clubhouse, Sauti Ya Watanzania, Leo, August 13, 2025, Saa 8:30PM, Tanzania Time. #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu

BREAKING: John Mnyika|| Tumaini Jipya|| #FreeTunduLissu 

Atakuwa anazungumza Clubhouse, <a href="/SautiWatanzania/">Sauti Ya Watanzania</a>, Leo, August 13, 2025, Saa 8:30PM, Tanzania Time.

#NoReformsNoElection #FreeTunduLissu