BEE BOY MX(@BeeBoyMx) 's Twitter Profile Photo

Moja ya dini ambayo siwezi kuja kumuaminisha mwanangu kama ni dini nzuri ni pamoja na mtoto wangu(Watoto wangu). Mnisamehe sana ambao mnaoamini kwenye hii dini. Mimi binafsi siiamini kwenye hii dini. Ndugu zangu,marafiki zangu na ndugu mnisamehe. Huenda nikawa sipo sahihi.

account_circle
BEE BOY MX(@BeeBoyMx) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na akili za CCM lazima utampinga Tundu Lissu kuhusu Muungano. Huyu mzee ana madini ya kutosha,Mungu ampe umri mrefu.

Kama mambo yenyewe ndio haya,Lile daraja la kuunganisha Tanganyika na Zanzibar ni bora liunganishe Tanganyika na DRC.

Hivi kuna ndege mwenye miguu minne? All in all admin wa Mashujaa Fc aendelee kupewa maua yake. Anaumiza akili za wengine.

7 IN A ROW๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ† Congratulations to Mamelodi Sundowns for the Winning the Dstv Premiership 2023/2024.

Safari ya chizi haihitaji nauli,bro Dr. Hamisi Kigwangalla unaipambania sana klabu yako japo kwa ushauri. Lakini wachache wanakudharau,achana nao ipo siku watayakumbuka maneno yako. Sisi tunafurahi kuona mkifanya vibaya na mkiwa kwenye migogoro isiyokwisha.

account_circle
BEE BOY MX(@BeeBoyMx) 's Twitter Profile Photo

Ukiona umefanikiwa basi shukuru kwa Mwenyezi Mungu,kuna watu wanapitia magumu sana kiasi kwamba wamekata tamaa ya maisha. Ukikutana nao usiache kuwasaidia pia usiache kuwaombea maana hakuna anayeijua kesho yake.

account_circle