Ishengoma Irene(@IshengomaIrene) 's Twitter Profileg
Ishengoma Irene

@IshengomaIrene

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

ID:898840196673875969

linkhttps://instagram.com/_ishengoma?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today19-08-2017 09:32:57

46,4K Tweets

18,0K Followers

2,0K Following

Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Pastor asimulia alivyokutana na Mama Mkwe wake kabla ya kukutana na Mkewe ambapo mama mkwe ndio alimtambulisha binti yake!!

What a great love story 😅😅

Video kwa Comments👇🏾👇🏾

Pastor asimulia alivyokutana na Mama Mkwe wake kabla ya kukutana na Mkewe ambapo mama mkwe ndio alimtambulisha binti yake!! What a great love story 😅😅 Video kwa Comments👇🏾👇🏾
account_circle
Ms_Nancy👑(@nancy_aidan) 's Twitter Profile Photo

He is always saying 'usome mkewangu'💕 lisaaa lizima ni masomo 🙌 anyways nampenda kila siku msela wangu 🫰

He is always saying 'usome mkewangu'💕 lisaaa lizima ni masomo 🙌 anyways nampenda kila siku msela wangu 🫰
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Chips mayai hii hapa imerudi

Bei yKe ni 25000

Njoo WhatsApp 0626010537

Kwa wanaozijua jeans wanajua ukali wa hizi

Delivery ipo

Bluetick yangu inalala imechoka sana jamani Rt

Chips mayai hii hapa imerudi Bei yKe ni 25000 Njoo WhatsApp 0626010537 Kwa wanaozijua jeans wanajua ukali wa hizi Delivery ipo Bluetick yangu inalala imechoka sana jamani Rt
account_circle
Hancy Machemba(@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Vita ambayo tunapaswa kupigana kwa nguvu zote ni vita ya umaskini. Umaskini mbaya Sana na hukubaliki kwa namna yoyote ile.

account_circle
Dada Kucha💅🏽(@GraceNguo) 's Twitter Profile Photo

Natafuta kazi, working from home au Night shift only

Nina Bachelor ya IR and Diplomacy
I can be PS preparing your speeches, presentations, meetings etc
Au kazi yoyote tu decent ya kuniongezea kipato.
E: [email protected]

Plz retweet boss wangu anaweza kuwa kwenye TL yako🙏🏽

account_circle
Lydia Charles(@Lydiacharles_) 's Twitter Profile Photo

Oh Jesus! My heart is full of worship🙏🏾
Living and breathing to see a world full of possibolities for girls and young women like me.

Thank you Global Citizen ⭕ for making my story my Glory. Truly humbled. Many thanks to my mom, my pastors, my team Her Initiative and to my bestfriends❤️

account_circle
Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania.

Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio

Leo ndio ndio siku rasmi ya kusomwa Bajeti ya @WizaraKilimo , Bajeti inayowagusa Watanzania Wengi, kwa sababu ndio uti wa mgongo wa Mtanzania. Usikose kusikiliza, mikakati mipya, changamoto na Mafanikio #BajetiKilimo
account_circle
Tanzania Investment Centre(@InvestTanzania) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetoa misamaha ya kodi changamkieni fursa sekta ya Utalii na Michezo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Tanzania TIC Bwana Gilead Teri amesema serikali imetoa msahama wa ushuru kwa asilimia Mia moja kwa bidhaa nyingi na malighafi kwa wanaohitaji…

account_circle
Gilead Teri(@GileadTeri) 's Twitter Profile Photo

TIC tunao Maafisa Dawati (Desk officers) mahsusi kwa maeneo mbali mbali

Lengo ni kuwafikia wawekezaji kwa namna rafiki kwao, zenye ushawishi, hamasa na kuwapa uhakika wa kuwekeza nchini kwetu.

LUGHA ni nyenzo muhimu.

Tumetafsiri taratibu za uwekezaji kwa lugha ya kituruki 👇

account_circle
Gilead Teri(@GileadTeri) 's Twitter Profile Photo

TANGAZO: Watanzania WOTE wenye miradi/uwekezaji WANAOTAFUTA wabia, tuleteeni TIC ili TUWATAFUTIE washirika

Una kiwanda, jengo, hospitali, shamba kubwa, biashara, nk ambayo unaitafutia MBIA/MSHIRIKA tuandikie TAARIFA KAMILI za mradi wako tukusaidie kupata MWEKEZAJI

BURE kwa WOTE

TANGAZO: Watanzania WOTE wenye miradi/uwekezaji WANAOTAFUTA wabia, tuleteeni TIC ili TUWATAFUTIE washirika Una kiwanda, jengo, hospitali, shamba kubwa, biashara, nk ambayo unaitafutia MBIA/MSHIRIKA tuandikie TAARIFA KAMILI za mradi wako tukusaidie kupata MWEKEZAJI BURE kwa WOTE
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wanaanzisha biashara za kukopesha watu, wakiwa na lengo mahsusi moja la kupora mali za watu.
Bahati mbaya sana wengi wanaingia mkenge huu sababu ya kuwa desperate.

account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

Naomba Retweet yako🙏

-Cabinet kitchen🔥,

Bei:350k Tanzania shillings,

📍 Location: Tabata Baracuda Na Tabata posta mkabala na Tanesco

☎️ Call: 0656177195

WhatsApp: wa.me/255656177195

Karibu.

Naomba Retweet yako🙏 -Cabinet kitchen🔥, Bei:350k Tanzania shillings, 📍 Location: Tabata Baracuda Na Tabata posta mkabala na Tanesco ☎️ Call: 0656177195 WhatsApp: wa.me/255656177195 Karibu.
account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

Nisaidie retweet🙏

-Sofa set 3:2:1:1 imara na zenye ubora zina spring+fiba & seat ni dodoma sheet,

-Tunatengeneza kwa Oda,

💵 Bei: 1.8M TSH

📍 Location: Tabata Baracuda

☎️ Call: 0656177195

WhatsApp: wa.me/255656177195

🚙:Pia Delivery ipo popote Tanzania

Karibu.

Nisaidie retweet🙏 -Sofa set 3:2:1:1 imara na zenye ubora zina spring+fiba & seat ni dodoma sheet, -Tunatengeneza kwa Oda, 💵 Bei: 1.8M TSH 📍 Location: Tabata Baracuda ☎️ Call: 0656177195 WhatsApp: wa.me/255656177195 🚙:Pia Delivery ipo popote Tanzania Karibu.
account_circle
Deoxz Keezy(@Deoxz) 's Twitter Profile Photo

Nisaidie Retweet please 🙏

-Console table nzuri na yenye muonekano bomba na muundo wa kisasa🔥

Material: hardwood(Mninga)

Bei:750k Tanzania shillings,

📍 Location: Tabata Baracuda& Tabata liwiti

☎️ Call: 0656177195

WhatsApp: wa.me/255656177195

Karibu.

Nisaidie Retweet please 🙏 -Console table nzuri na yenye muonekano bomba na muundo wa kisasa🔥 Material: hardwood(Mninga) Bei:750k Tanzania shillings, 📍 Location: Tabata Baracuda& Tabata liwiti ☎️ Call: 0656177195 WhatsApp: wa.me/255656177195 Karibu.
account_circle