Zizzou Lity (@zizzoulity) 's Twitter Profile
Zizzou Lity

@zizzoulity

[email protected]

ID: 1658544643221381155

calendar_today16-05-2023 18:47:38

2,2K Tweet

485 Followers

838 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA. Nimeendelea kupokea vitisho kwa watu wanaoaminika ni watu kutoka jeshi la polisi, wanadai "badao hatujamalizan na wewe". ACP Faustine Jackson Mafwele ndio aliongoza genge la utekaji wangu tarehe 23/6. Na hilo genge ndio linanitafuta kuwa wanataka wamalize kazi.

TAARIFA.

Nimeendelea kupokea vitisho kwa watu wanaoaminika ni watu kutoka jeshi la polisi, wanadai "badao hatujamalizan na wewe".

ACP Faustine Jackson Mafwele ndio aliongoza  genge la utekaji wangu tarehe 23/6. Na hilo genge ndio linanitafuta kuwa wanataka wamalize kazi.
Zizzou Lity (@zizzoulity) 's Twitter Profile Photo

Hello! I'm in need of a female competent teacher who can teach Grade one subjects. *She must be good at speaking English language* *She must live in Dar es salaam, around Tegeta areas* If you're interested, let's communicate through 0672438196 (WhatsApp/normal calls and SmS)

John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Japo muda umeenda kidogo ila unaweza kusoma, kama utahitaji maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na mzazi wa huyu binti. Ila hiyo wheelchair ambayo inasehemu ya haja ni laki nne na nusu. Namba hii hapa 0616663627

Japo muda umeenda kidogo ila unaweza kusoma, kama utahitaji maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na mzazi wa huyu binti.

Ila hiyo wheelchair ambayo inasehemu ya haja ni laki nne na nusu.

Namba hii hapa 0616663627
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Huyo Binti ambae nimeweka taarifa zake hapo kwenye Post yangu niliyo pin ndio huyu. Anapitia changamoto ambayo mimi binafsi imenigusa. Naomba msaada wako. 0616663627 Twaha yusuph mselewa

Huyo Binti ambae nimeweka taarifa zake hapo kwenye Post yangu niliyo pin ndio huyu.

Anapitia changamoto ambayo mimi binafsi imenigusa.

Naomba msaada wako.

0616663627 Twaha yusuph mselewa
NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Nimepata taarifa kuwa; Kada wa CCM ndugu Idrisa Makishe, mkazi wa Moshi mjini- Kilimanjaro na mwazilishi wa kundi kubwa Songeshi la WhatApp Moshi linaitwa 'Moshi Mjini Moto' (ambalo mie ni member) Inasemekana kamwagiwa tindikali machoni na kisha kupigwa nyundo, usiku huu

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

C&p kutoka kwa Boniface Jacob MUHIMU SANA hii.๐Ÿค MAMBO 10 YA KUZINGATIA WAKATI WA MAANDAMANO. Leo ni siku ya mwisho ya maandalizi ya maandamano ya amani jijini Dar es Salaam. 1.Andaa viatu vyako vyepesi kwa mfano raba na epuka aina ya viatu vya mchuchumio au moka.

C&amp;p kutoka kwa  <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> MUHIMU SANA hii.๐Ÿค

MAMBO 10 YA KUZINGATIA WAKATI WA MAANDAMANO.

Leo ni siku ya mwisho ya maandalizi ya maandamano ya amani jijini Dar es Salaam.

1.Andaa viatu vyako vyepesi kwa mfano raba  na epuka aina ya viatu vya mchuchumio au moka.
Zizzou Lity (@zizzoulity) 's Twitter Profile Photo

Maabaria OS,na AB KAZI DUBAI MSHAHARA- DOLLAR 700 PLEASE NOTE documents zoote ziwe original kuanzia vyeti mpaka seaman book ๐Ÿ“– Unapo tuma application yako tuma pamoja na TASAC NUMBER na DMI NUMBER MAABARIA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช No :+255694702410

Zizzou Lity (@zizzoulity) 's Twitter Profile Photo

Mabaharia OS na AB kazi ni Dubai Mshahara dollar 700 Note: Documents zote ziwe original kuanzia cheti hadi seaman book Unapotuma documents zako tuma pamoja na TASAC NUMBER na DMI NUMBER Mawasiliano no : 0694702410

Mishy๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Pichani ni mtoto SHADRACK MTIMIZI anayesumbuliwa na tatizo la moyo linalopelekea tumbo lake kuvimba na kuzimia mara kwa mara Unaweza kumshika mkono mama mzazi wa Shadrack kwa kumuwezesha gharama za kumhudumia mwanae apate tiba kwa namba 0766401682: ALLY MILANZI

Pichani ni mtoto SHADRACK MTIMIZI anayesumbuliwa na tatizo la moyo linalopelekea tumbo lake kuvimba na kuzimia mara kwa mara 

Unaweza kumshika mkono mama mzazi wa Shadrack kwa kumuwezesha gharama za kumhudumia mwanae apate tiba kwa namba 

0766401682: ALLY MILANZI