Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile
Zacharia Thomas Obad

@zacharia_obada

Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria

ID: 2861190274

calendar_today04-11-2014 18:47:32

1,1K Tweet

7,7K Takipçi

389 Takip Edilen

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Huu ni ukatili wa hali ya juu. Mwenyekiti wetu Tundu Lissu ana ulemavu uliosambabishwa na Serikali. Leo hao hao wanataka wamwongezee ulemavu mwingine. Tuna wajibu wa kufanya kuzuia huu unyama. Very sad. No reforms No election

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Wanasiasa wengi wanakosa mwisho mzuri. Wengi hufanya maamuzi ya kukurupuka na pupa. Nadhani wanafanya hivi kwa sababu ni wachafu kupita maelezo. Hili ni fundisho kwa wanasiasa wengine. Watanzania sasa wataka MABADILIKO. NO REFORMS NO ELECTION

Wanasiasa wengi wanakosa mwisho mzuri. Wengi hufanya maamuzi ya kukurupuka na pupa. Nadhani wanafanya hivi kwa sababu ni wachafu kupita maelezo. Hili ni fundisho kwa wanasiasa wengine. 

Watanzania sasa wataka MABADILIKO.

NO REFORMS NO ELECTION
Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Bora huyu atazikwa. Fikiria wazazi na ndugu wa akina Soka, Kaswahili,Aman, Mbeshi na wengine wengi ambao hadi leo hawajulikani wako wapi.

Bora huyu atazikwa. Fikiria wazazi na ndugu wa akina Soka, Kaswahili,Aman, Mbeshi na wengine wengi ambao hadi leo hawajulikani wako wapi.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Leo Jaji ametoa tafsiri na kusema si watu wote katika CHADEMA waliozuiwa kufanya shughuli za chama. Amri ya Mahakama inahusu; 1. Bodi ya wadhamini wa chama 2. Katibu Mkuu wa chama pekee yake. Hivyo,

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wetu msitapeliwe. Hakuna mtu atawapa Ubunge wala Udiwani wa Bure. Kama walishindwa kuwapa Mitaa na Vijiji na Vitongoji watawapa Ubunge na Udiwani? Zakaria Obad, Katibu wa Kanda ya Victoria.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kusisitiza kuwa msimamo wake wa “No reform no election” ni njia pekee ya kupata Katiba mpya na mabadiliko makubwa ya mageuzi nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza siku ya Jumamosi, Katibu wa

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️👇🏾KUELEKEA NOVENA MAALUM YA KANISA KATOLIKI KUOMBEA HAKI NA AMANI ‼️ 🙏🏽SALA YA KUIOMBEA TANZANIA: Ee Mungu Mwenyezi wa milele, Baba wa mataifa yote na wa watu wote, utuangalie kwa macho ya huruma sisi watu wako wa Tanzania, ambao nasi sasa twahesabika kati ya mataifa ya

‼️👇🏾KUELEKEA NOVENA MAALUM YA KANISA KATOLIKI KUOMBEA HAKI NA AMANI ‼️

🙏🏽SALA YA KUIOMBEA TANZANIA: 
Ee Mungu Mwenyezi wa milele, Baba wa mataifa yote na wa watu wote, utuangalie kwa macho ya huruma sisi watu wako wa Tanzania, ambao nasi sasa twahesabika kati ya mataifa ya
Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

MGAWO UKOJE? 1. CCM A inapata shilingi ngapi? 2. CCM B (ACT) inapata shilingi ngapi? 3. CCM C- CHAUMMA inapata shilingi ngapi? No reforms No election

MGAWO UKOJE? 
1. CCM A inapata shilingi ngapi? 
2. CCM B (ACT) inapata shilingi ngapi?
3. CCM C- CHAUMMA inapata shilingi ngapi?

No reforms No election
Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Katika umri wake amekuwa mwanachama wa vyama vitatu. 1. Amewahi kuwa mwana CCM 2. Amewahi kuwa mwana CHADEMA. 3. Sasa ni mwana CHAUMMA. 4. GUESS???? 5. GUESS Natabili baada ya CHAUMMA anatarudi CCM-4 CHADEMA tukiitoa CCM atarudi tena CHADEMA-5 No reforms No election.

Katika umri wake amekuwa mwanachama wa vyama vitatu. 
1. Amewahi kuwa mwana CCM
2. Amewahi kuwa mwana CHADEMA.
3. Sasa ni mwana CHAUMMA.
4. GUESS????
5. GUESS 

Natabili baada ya CHAUMMA anatarudi CCM-4
CHADEMA tukiitoa CCM atarudi tena CHADEMA-5 

No reforms No election.
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Kwa kuongozwa na sala ya Yesu Kristo katika Yohana 17 nawaalika tusali pamoja Novena ya kuiombea Tanzania Haki na Amani (Siku ya 5): *SALA YA KUIOMBEA TANZANIA* Ee Mungu Mwenyezi wa milele, Baba wa mataifa yote na wa watu wote, utuangalie kwa macho ya huruma sisi watu wako wa

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Tuna taarifa za ndani kutoka kwa viongozi wa dini hususa Maaskofu kwamba kikosi kazi maalumu kimeundwa kwa ajili ya kuwashawishi ili wahamasishe wananchi kushiriki uchaguzi. Kwa heshima tunawaomba Maaskofu wetu wasikubali. Viongozi ni daraja la kwenda kwa Mungu.

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Elisha Juma(Injili igeuzayo roho ) alitekwa tarehe 19/8/2025 jioni 10:37 Bukombe -Ushirombo Mtaa wa Kilimahewa. Alipigwa simu kwenda kurekodi studio ya MASJY . Alipofika tu watu zaid ya 4 walikuja na gari aina ya Land Cruiser nyeupe tinted.Mmoja alikuwa na bunduki aina ya S.M.G

Zacharia Thomas Obad (@zacharia_obada) 's Twitter Profile Photo

Leo Kanisa Katoliki Tanzania limeanza kusali na kufunga kwa ajili HAKI NA AMANI katika Taifa. Nawaonba wanachama wa Kanda ya Victoria na wananchi kwa ujumla tuungane na wezetu kuliokoa Taifa. Tuwaombee Amani Manengelo , Kaswahili,Mbeshi Paul,Mdude ,Soka na wote waliopotezwa.

Leo Kanisa Katoliki Tanzania limeanza kusali na kufunga kwa ajili HAKI NA AMANI katika Taifa.
Nawaonba wanachama wa Kanda ya Victoria na wananchi kwa ujumla tuungane na wezetu kuliokoa Taifa. Tuwaombee Amani Manengelo , Kaswahili,Mbeshi Paul,Mdude ,Soka na wote waliopotezwa.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Viongozi na wanachama watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaodaiwa kutekwa na kupotea katika matukio tofauti Kanda ya Ziwa, majina yao yamewasilishwa katika Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza kwa ajili ya maombi maalumu. Akizungumza na waandishi wa

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️BREAKING NEWS‼️ #EnforcedDisappearances in #Tanzania confirmed to be conducted by Samia Suluhu govt and security forces working with criminals 👇🏾 Former ambassador to Cuba, former MP, member of CCM executive vommittee who served in several high level positions has confirmed