Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)
@yahayaomary
Founder of WAKA (Wananchi & Katiba) |
Advocate - Zanzibar | Advocate - Tanganyika |
CEO Dar HR Consultants |
Human Rights Activist |
Mgombea Ubunge Temeke 2020
ID: 2227439237
http://www.darhr.co.tz 15-12-2013 18:24:42
20,20K Tweet
2,2K Followers
49 Following
FARID BOUSSALEM « Ils complotaient, et Allah complotait. Et Allah est le meilleur des stratèges. » Sourate 8, verset 30
Hapa kuna ya kujifunza nyie ACTWazalendo na CUF mnaweza kujifunza mkitaka. Hawa wenzenu kuna muda wanaweka pembeni tofauti zao wakashirikiana na wanalionesha taifa kua wako sawa. Nyie sasa, mitusi na kususiana kama kote! Wake up! Kueni na common goal acheni visasi vya kitoto.
Asante kaka Sammy Awami wauaji wako serikalini kwenye idara zao wanakula kodi zetu na bado wanataka maridhiano, hasira zinaongezeka mikiwaza hilo.
"Amani ni zao la haki na demokrasia. Bila demokrasia hakuna haki; bila haki hakuna amani, na bila amani hakuna maendeleo. Hiyo ndiyo kanuni." Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote ACTWazalendo
Mwanasiasa Mkongwe Anna Tibaijuka Akizungumza na Salim Kikeke kwenye #KikaoNaKikeke anaeleza kuwa, ni ngumu kulileta Pamoja Taifa wakati Kiongozi wa Upinzani akiwa Gerezani. Mahojiano yanapatikana YouTube ya CROWNMEDIA;