Bro La Mbezi (@x_mzozo) 's Twitter Profile
Bro La Mbezi

@x_mzozo

ID: 1199397530762657793

calendar_today26-11-2019 18:40:54

8,8K Tweet

9,9K Takipçi

8,8K Takip Edilen

Dr Mwakalebela (@isayadicksonjr) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa unafanya kazi kwenye medical field utaipa thamani Afya na Uhai … Line ya kifo na uhai ni nyembamba sana , be grateful for everything wengine wanatamani wangekua kama wewe muda huu wapo kitandani na hawawezi nyanyuka.. Maisha yako ni ndoto kwa mtu mwingine 🙏

AFRICAN & BLACK HISTORY (@africanarchives) 's Twitter Profile Photo

The Banyole of the ancient kingdom Of Uganda practiced and perfected C-Section long before the Europeans. While Europeans mainly concentrated on saving the baby, the ugandans were performing the operation successfully saving both. A THREAD

The Banyole of the ancient kingdom Of Uganda practiced and perfected C-Section long before the Europeans.

While Europeans mainly concentrated on saving the baby, the ugandans were performing the operation successfully saving both. 

A THREAD
SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Kanisa limejenga shule kwa sadaka za waumini na bado waumini wanashindwa kusomesha watoto wao kwenye shule hiyo kwa sababu ya ada.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Kwa siku chache zilizopita, zilisambaa taarifa juu ya kutoweka kwa "mfanyabiashara" Daisy Simon Ulomi. Neno "Mfanyabiashara" sijaliwekea kwa bahati mbaya alama za kufungua na kufunga semi. Ni kwa sababu inadaiwa Daisy Ulomi alikuwa ni zaidi ya "Mfanyabiashara" Tutajadili...

Kwa siku chache zilizopita, zilisambaa taarifa juu ya kutoweka kwa "mfanyabiashara" Daisy Simon Ulomi.

Neno "Mfanyabiashara" sijaliwekea kwa bahati mbaya alama za kufungua na kufunga semi.

Ni kwa sababu inadaiwa Daisy Ulomi alikuwa ni zaidi ya "Mfanyabiashara"

Tutajadili...
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Una ekari 5 nje ya mji kama Mlandizi hivi, na kahela milioni 30 kamezubaa sehemu; ni mchongo gani unaweza kupiga utakaoleta constant hela ya maana baada ya mfupi? Daily income, naomba mawazo ukiachana na ufugaji.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya mtu nakupenda na kukuheshimu kwa harakati zako nadhani ni mimi pia,Mbowe kaelezea ana haki kulingana na katiba ya chama chao na kama wanataka kufuta ukomo huo unaoongelewa na walioshiriki kuuweka inawezekana pia..Awe Lissu awe Mbowe chama kikiamua katiba itabadilika

Billy (@billytronix1) 's Twitter Profile Photo

Kazi za Graphic designs miaka ijayo zitaanza kuwa ngumu! hili Grok la Elon Musk unaliandikia tu logo yako unataka iweje linatengeneza chap sec 30 linashusha picha za sample 😂😂😂😂

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

👉🏽 Mwanetu kwa sasa nae anaStragooo sana katika Tasnia yake ya utangazaji, kipindi kile yupo CLOUDS mwana alijizolea Mashabiki na wafatiliaji wengi sana 🙌🏽 Ile Korona ikaja kuharibu kila kitu, Panga la kupunguzwa kwa Wafanyakazi lilimlamba na yeye {Na sababu ilikuwa Korona

👉🏽 Mwanetu kwa sasa nae anaStragooo sana katika Tasnia yake ya utangazaji, kipindi kile yupo CLOUDS mwana alijizolea Mashabiki na wafatiliaji wengi sana 🙌🏽

Ile Korona ikaja kuharibu kila kitu, Panga la kupunguzwa kwa Wafanyakazi lilimlamba na yeye {Na sababu ilikuwa Korona
ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Kama unaona utiifu kwa mwanaume ni utumwa, basi usiolewe. Kama unaona kutimiza majukumu ya mzazi ni utumwa, baki single. Ndoa sio kwa kila mwanamke. Sio kila mwanamke anastahili kuvaa taji la ndoa na kuwa mke wa mtu. Wengine wameumbwa kuwa mifano ya kile ambacho wanawake

Bro La Mbezi (@x_mzozo) 's Twitter Profile Photo

Wafamasia mtutengenezee ARV maana tangu 1st year mmesoma compounding 2nd year mmesoma organic chemistry na pharmacognosy. Muda ni huu sasa.

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji kutoka Clouds Media Group Farahan Mshamu Kihamu, Ame-share Story, yake ya maisha yake ambapo amesema, Miezi 9 iliyopita(June 2024) alishaandaa Email ya kuwashuru Clouds na Kutaka kurudi Morogoro Kulima. Ilikuaje akabakia? Soma mwenyewe Screenshot kwa Comments 👇

Mtangazaji kutoka Clouds Media Group

Farahan Mshamu Kihamu,

Ame-share Story, yake ya maisha yake ambapo amesema,

Miezi 9 iliyopita(June 2024) alishaandaa Email ya kuwashuru Clouds na Kutaka kurudi Morogoro Kulima.

Ilikuaje akabakia?

Soma mwenyewe

Screenshot kwa Comments 👇
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Elimu ya Wolfgang Pisa, Rais wa TEC; 1. Bachelor degree in Philosophy- Zambia 2. Bachelor degree in Divinity - Zambia 3. Bachelor degree in Theology- Jordan 4. Masters of Education - UDSM 5. Masters in Social ethics- USA 6. PhD in Social Ethics- USA

Elimu ya Wolfgang Pisa, Rais wa TEC;
1. Bachelor degree in Philosophy- Zambia
2. Bachelor degree in Divinity - Zambia 
3. Bachelor degree in Theology- Jordan
4. Masters of Education - UDSM
5. Masters in Social ethics- USA
6. PhD in Social Ethics- USA
Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Wakipunguza anasa na misafara ya kijinga, labda trililioni 55 zinaweza kupatikana. Wakiondoa vyeo visivyo na maana e.g., ondoa RC, DC, Katibu Mkuu kila Wizara, badala yake wakurugenzi ndani ya Wizara husika waform Secretariat ya Wizara maybe. Overall, maviongozi ya nchi ombaomba