FUJO🇹🇿 (@wyclnm) 's Twitter Profile
FUJO🇹🇿

@wyclnm

Professional in accounting

ID: 2647085261

calendar_today27-06-2014 14:33:18

129 Tweet

179 Followers

2,2K Following

FUJO🇹🇿 (@wyclnm) 's Twitter Profile Photo

mama hataki kuamini hayo mda ni mwalimu ataona sarakasi zitakazopigwa dhidi yake mbaya zaidi kuna mtu yule anaye mshauli na anamwamini kumbe ndiye anayemtengenezea shambulizi dhidi yake! bwana yule lengo lake ni kuhakikisha anasuka mfumo ambao kundi lake litakaa sawa.

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

Babu, babu, babu!!! Nakuita tena babu!! Hebu weka AKIBA ya maneno maana tulikuwepo jikoni 2015 na tupo leo!, so pls give a break!! NAJIZUIA sana but usitulazimishe tushindwe kuvumilia!!.. Huna moral authority ya kufumbua hata kope za macho yako!! {sikuhizi ukimwaga mboga,

Babu, babu, babu!!! Nakuita tena babu!! Hebu weka AKIBA ya maneno maana tulikuwepo jikoni 2015 na tupo leo!, so pls give a break!! NAJIZUIA sana but usitulazimishe tushindwe kuvumilia!!.. Huna moral authority ya kufumbua hata kope za macho yako!! {sikuhizi ukimwaga mboga,
FUJO🇹🇿 (@wyclnm) 's Twitter Profile Photo

Nape anachojuwa ni matusi tu na unafiki katika maisha yake! ukifuatilia kwa makini haya maneno anaweza kuwa anamtaja dr. slaa ajue siyo level yake hata kidogo kusema kwamba mlikuwa nae 2015 hawezi kuona uozo akakaa kimya jueni kuwa hii nchi siyo mali ya kikundi cha watu wachache.

FUJO🇹🇿 (@wyclnm) 's Twitter Profile Photo

Sasa kama nikuthibitisha kuwa ya mdude au laa na mdude huyo wakulinganisha damu yake yuko wapi mbona mkuu unajipa maswali zaidi ! Unataka utuaminishe damu yoyote ikikutwa sehemu yoyote ikichukuliwa na kwenda kufanyiwa uchunguzi itajulikana ni ya mtu flani bila ulingnifu