Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID: 3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

7,7K Tweet

243,243K Takipçi

141 Takip Edilen

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MTOTO ASIPOPATA CHANJO HATARINI KUPATA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA -MHAGAMA Na. WAF, Tabora Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanapata ili kujikinga na magonjwa kwakuwa mtoto asipopata chanjo

MTOTO ASIPOPATA CHANJO HATARINI KUPATA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA -MHAGAMA

Na. WAF, Tabora

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanapata ili kujikinga na magonjwa kwakuwa mtoto asipopata chanjo