x66 (@williambarnaba) 's Twitter Profile
x66

@williambarnaba

Business AdministrationπŸ’³πŸ’°|| Music🎢|| Simba Sports Club & Manchester UnitedπŸ”΄πŸ”΄||CMF☯️

ID: 1626211395208646657

calendar_today16-02-2023 13:26:43

244 Tweet

320 Followers

259 Following

Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2011, watafiti walitengeneza unga kutoka kwa maganda na mbegu za bamia kutibu panya wenye ugonjwa wa kisukari. Baada ya mwezi mmoja, panya waliokula unga huo walikuwa na viwango vya chini vya sukari na mafuta mwilini ikilinganishwa na wale ambao hawakula unga huo.

TRUST ME BRO (@mwenyekit_i) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna kipindi unatakiwa kuwa makini na watu ni kipindi ambacho uko chini kwenye kila kitu au kipindi cha huzuni. Baadhi yao wanaweza kuja kukuahidi msaada au wakakusaidia only to take advantage of the situation you're in.

Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kila hali maishani ni ya muda tu, Kwa hiyo, maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia kikamilifu. Na yanapokuwa magumu usikate tamaa kumbuka kuwa hayataendelea milele siku njema zinakaribia.

Ray β€πŸ’β€ (@raycruzy) 's Twitter Profile Photo

Sweta si za kukosa 20000 tuu Delivery βœ…πŸšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048βœ…πŸ’―πŸ”₯πŸ“Œ Kindly repost πŸ™β™₯️

Sweta si za kukosa 20000 tuu
Delivery βœ…πŸšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048βœ…πŸ’―πŸ”₯πŸ“Œ
Kindly repost πŸ™β™₯️