EVERTON WANGATIA ( kijana wa cheptais)
@wangatiaevarton
simple boy who love radio,love allah and love beautiful girls ๐ฏ๐ฏ๐ท๐ท๐
ID:1514504190650986496
14-04-2022 07:22:14
18,9K Tweets
2,3K Followers
2,1K Following
Follow People
Maisha Cocktail na @thisisgathoni na @Mbuikassim kutoka saa nne hadi saba usiku #MaishaCocktail #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Radio Citizen #GoodEveningKenya , Vipi Kamau? Umesema tuombe request lakini kinaya ni kwamba huwa hamchezi request zenyewe. ๐ Leo naomba Why worry about them? Ya Culture nione ikiwa utacheza. Kiserian ndani.
Jizee, ni wakati wa #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua karibia tuelimishane na tuburudike pamoja. Je, unatupata ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Maisha Asubuhi na @zullysolomon, @Shugaboyke1 na @chris001ke kutoka saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne asubuhi. #TatuSure #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Radio Citizen @abdimunai #DriveOnReloaded Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai ndani ya show Liwaza ya jioni njema Violet Karani Mika Aluda ZablonEsikuri Zak Zakse ๐๐ Brian Alรฏลgรคlรฎรฑga Jessy wa Bahrain Wangechi Kabiu (Cowgal๐๐) ford Kimungui .OpiliOmasete ( LOGIRI SAFI ) Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo ๐ฐ๐ช EVERTON WANGATIA ( kijana wa cheptais)
Amemba Magufuli ndio mgeni wetu leo kwenye Bunge la Maisha. #TatuSure #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Karibu ndani ya #ShowKonki na malikia wa kizazi kipya Malkia wa kizazi kipya ๐ na MULAMWAHโข .
Unaskiza show ukiwa maeneo gani?
Show ni konki kama kawaida na Malkia wa kizazi kipya ๐ na MULAMWAHโข ndani ya studio from 2pm to 6pm.
Burudani ni ile ile. Unaipata ukiwa wapi?
#ShowKonki
Karibu tulichikiche pamoja na Mkamburi Chigogo na Mc Japhe ndani ya #MkamburiNaJaphe . Unategea show ukiwa wapi?
#HapaNdipo
Maisha Asubuhi #tbt edition na @zullysolomon na Shugaboy KE. 6am - 10am. #ZullyNaShugaboy #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Hewani ni #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua. Umeshindaje leo hii na unatupata ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya #RadioNumberOne
Ni awamu ya porojo ukiwa na JK Kamau Munyua ndani ya makala ya #GoodEveningKenya mibibi na mijizee karibuni nyote kuanzia 8pm -12am. Unatupata ukiwa wapi?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Alhamdhulillah and Bismillah ๐คฒ๐พ๐ฟ happy to join the Milele FM family. Will be rocking your airwaves Mon-Fri 2:00pm to 6:00pm w/ MULAMWAHโข Meshack Jillani #showkonki
In studio leo tutakua naye Brenda Michelle, a pet lover with over 35 pets and is also an actress. #MwendeNClemmoKonnect #RadioZaidiYaRadio
Radio Maisha Queen of Airwaves Clemmo 254 DJ BYRON WORLDWIDE #mwendeNClemmokonnect kitengela tuko mbele pamoja Queen of Airwaves Clemmo 254 Radio Maisha ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Radio Maisha Queen of Airwaves Clemmo 254 DJ BYRON WORLDWIDE Ndio nimekopa bundles Kwa ajili ya show ya Konnect ๐ฅ๐ฅ๐ฅ autta machakos County Niko ndakas kama kawaida ๐ฅ
#MwendeNClemmoKonnect
#RadioZaidiYaRadio