Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Dr, Susan Gitau yupo live kwa ajili ya mafunzo muhimu, kuhusu afya yako na dhidi ya kuepukana na dawa za Kulevya.

Dr, Susan Gitau yupo live kwa ajili ya mafunzo muhimu, kuhusu afya yako na dhidi ya kuepukana na dawa za Kulevya.

#HapaNdipo
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

....EFATHA!! Marko 7:31-37....Mwezi huu wa Mei, tunanenea hali ambazo zimekua kiziwi, zimekataa kusikia, malango ambayo yamekataa kusikia, tunatangaza EFATHA, funguka katika Jina la Yesu! Amina! Tukutane Galilaya!

#Neno....EFATHA!! Marko 7:31-37....Mwezi huu wa Mei, tunanenea hali ambazo zimekua kiziwi, zimekataa kusikia, malango ambayo yamekataa kusikia, tunatangaza EFATHA, funguka katika Jina la Yesu! Amina! Tukutane Galilaya!

#NuruNaEvahMwalili  #HapaNdipo
account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndio tunaleta Peoples Choice Award hapa Radio47!

VOTE NOW! SMS word KUZA to 15601 and VOTE for RADIO47 as the Radio Station of the Year. VOTE Online kuzaawards.co.ke/index.php/kuza…

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

Uko tayari kuelimishwa maswala ya hela? Tuko naye Pish Anataka ambaye ni Co-Curriculum Activities Coach , unategea ukiwa wapi?

Uko tayari kuelimishwa maswala ya hela? Tuko naye Pish Anataka ambaye ni Co-Curriculum Activities Coach  , unategea ukiwa wapi?

#HapaNdipo #MkamburiNaJaphe
account_circle