Theron (@waltererick01) 's Twitter Profile
Theron

@waltererick01

hustler

ID: 1593220111179173890

calendar_today17-11-2022 12:31:27

2,2K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Blessed Trice✝️🙏 (@trice_blessed) 's Twitter Profile Photo

Fikra zako ni uwanja mmojawapo ya vita vya kiroho na ndo njia kuu ambayo adui huitumia kukutoa kwa Mungu…. Hivo hakikisha unapambana kuzilinda fikra zako zipate kumtii kristo Fikra ni eneo ndani ya akili linalotakiwa lichague wazo linalohitajika kimaisha kwa ajili ya mtu husika

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Pesa huwa zinakata, marafiki wanabadilika, mipango inaharibika, umaarufu unaisha, connections zinakauka lakini MUNGU hajawahi kupungua. Mtegemee wakati wote, sio tu wakati wa Magumu yako bali pia wakati wa Mafanikio yako. Leo kabla ya kulala sema “MUNGU, mimi si kitu bila wewe”.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu anakwambia “MNYONGE LAZIMA ATAKE MABADILIKO. Majitu yanayojiita CONSERVATIVE (ambayo tunayo mengi huku mtandaoni) ni yale yaliyoshiba.” Nimeipenda sana hii😂😂, ujumbe mwafaka kwa muda mwafaka.

Theron (@waltererick01) 's Twitter Profile Photo

Supporting what causes pain and deliberately destroys rights, while you are a person of wisdom, is shocking and hurtful. One day they will do the same harm to you, because that is their character.

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

KILA mtu amepewa assignment yake na Mungu hapa duniani. Hakikisha unaifanya assignment yako kwa unyenyekevu na kwa uaminifu mkubwa. Inawezekana assignment yako ni kumsaidia mwingine atimize assignment yake. Fanya assignment yako kwa uaminifu. Utaulizwa. Kama huijui assignment

iamvictor (@iamdeidei_05) 's Twitter Profile Photo

TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP [MACHO BUNDI] ✅️ YEAR 2025 ✅️ CC 4.2L ✅️ ENGINE CODE 1HZ ✅️ MANUAL GEAR WITH 4WD ✅️ FUEL DIESEL, ✅️ PERFORMANCE 180KM/H SPEED, ✅️ LOW MILEAGE 76,252 KM ✅️ NEW TYRES ✨️PRICE : 210M [inclusive registration] 0696221160 📞

TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP [MACHO BUNDI] 
✅️ YEAR 2025 
✅️ CC 4.2L
✅️ ENGINE CODE 1HZ
✅️ MANUAL GEAR WITH 4WD
✅️ FUEL DIESEL, 
✅️ PERFORMANCE 180KM/H SPEED, 
✅️ LOW MILEAGE 76,252 KM 
✅️ NEW TYRES 

 ✨️PRICE : 210M
[inclusive registration]

0696221160 📞
IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu hawana hela nyingi, hawana exposure kubwa, hawana mitandao, lakini kila wanachogusa hugeuka kuwa na thamani. Kwa nini? Kwa sababu wako committed. Wameamua kwa dhati. Wameamua kuamka kila siku, kujifunza, kufanya makosa, kurekebisha, na kuendelea.

Smitaa Nair (@smitaanair01) 's Twitter Profile Photo

You must have noticed this? When you believe in what you’re selling, people just… trust faster. It does not happen by magic. It happens through a transfer of belief. The stronger your belief, the faster they buy.

Safari Gateway Ltd (@safarigateway_) 's Twitter Profile Photo

Looking for something unique to do? The Zanzibar Dolphin Tour at Mnemba is the perfect choice! 🐬🌊 Need a host while in Zanzibar? We've got you covered! ☎️ Call or WhatsApp +255 777 232 747 for more information and bookings.