Wakili.tv
@wakilitv
WAKILI TV : Televisheni ya Mtandaoni inayomilikiwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa Malengo ya kutoa Elimu ya Kisheria
ID: 1263386315976040448
https://www.youtube.com/channel/UC5uwTzHaVDN-eHSqxD4zx9Q 21-05-2020 08:29:48
810 Tweet
1,1K Followers
163 Following
Rais wa TLS wakili Boniface Mwabukusi amehoji waziri wa mambo ya ndani, Innocent Bashungwa kuingilia mhimili wa mahakama na kama tabia hiyo ya kuingiliwa mhimili huo ikiendelea kama mawakili wataweka kalamu chini kushinikiza mihimili kutokuingiliana.
Rais wa TLS wakili Boniface Mwabukusi amekiri kufuatilia kwa karibu tukio la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mdude Nyagali kuvamiwa na kujeruhiwa na watu wanaosadikika ni polisi kisha kutokomea na kusipojulikana.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaka jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA TANZANIA wakili Tundu Antiphas Lissu .
TLS ina jukumu la shangazi kuna wakati itakusema ukinuna unune, ila shangazi atasema tu, atakemea, atafinya kidogo lakini mwisho wa siku shangazi hakuchukii - Boniface Mwabukusi
Kiapo hakiondoi 'Conficts of interest' - Rais Mstaafu wa Tanganyika Law Society(TLS) wakili fatma karume aka Shangazi . Amesema hayo wakati wa mjadala wa mkutano mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika uliofanyika tarehe 8 Mei 2025 ukumbi wa AICC jijini Arusha. #tlsagm2025