Veesmart2🌹
@veesmart2
Here for fun..Simba sport 💯 #MUFC
Manchester United fan🌹
ID: 1479417297286709248
07-01-2022 11:39:35
13,13K Tweet
5,5K Takipçi
5,5K Takip Edilen
. Tundu Antiphas Lissu (akiwa mbunge wa Singida Mashariki) alihakikisha anashughulika kiulalo-ulalo na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Mcheche Masaju, ambaye leo ameteuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania. TAL akitoka gerezani, akarejea uraiani ataanzia pale alipoishia bungeni
“Nchi hii mpira unatumika vibaya. Mpira imekuwa ni silaha ya kupumbaza watu… na kama kuna kitu kinanikera katika nchi hii na Mungu akijibu maombi akiondoe mara moja, ni Simba na Yanga…… ” - Godbless E.J. Lema
"Mhe. Hakimu kuanzia sasa mimi ndio nitakayekimbizana na hawa Mawakili wa Serikali." Mhe. Tundu Antiphas Lissu