Usijisahau_tz (@usijisahautz) 's Twitter Profile
Usijisahau_tz

@usijisahautz

Fanya Mazoezi🏋️‍♀️, Kula vizuri🥗, Punguza stress🧘🏽‍♂️

📧: [email protected]

ID: 1698951199465074688

calendar_today05-09-2023 06:48:38

333 Tweet

1,1K Takipçi

14 Takip Edilen

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

BARABARA YA DARAJA LA TANZANITE KUFUNGWA KILA JUMAMOSI ASUBUHI KUPISHA MAZOEZI Na WAF - Dar Es Salaam Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 12:00 asubuhi

BARABARA YA DARAJA LA TANZANITE KUFUNGWA KILA JUMAMOSI ASUBUHI KUPISHA MAZOEZI

Na  WAF - Dar Es Salaam 

Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 12:00 asubuhi
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema kuwa Barabara ya Coco Beach kuelekea daraja la Tanzanite, Agha Khan hadi Ocean Road itafungwa upande mmoja na kutumika kwa ajili ya mazoezi kuanzia saa 12 hadi saa 3 asubuhi kila Jumamosi. Waziri

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema kumekuwa na mwamko wa watu, familia na vikundi vya mazoezi ambao hufanya mazoezi barabarani katika maeneo mbalimbali Jiji la Dar Es Salaam hivyo Serikali imeona ni vyema kuunga mkono juhudi hizo na

Julius Jaji (@julius_jaji) 's Twitter Profile Photo

NIWAKUMBUSHE SASA AFYA YA AKILI. "siyo tu mwili wako unahitaji kutunzwa, bali pia akili yako. Pumzika, fanya mazoezi, kula vizuri, na zaidi ya yote, usisite kuomba msaada unapohitaji. Tuwe na afya bora ya akili na mwili!" #AfyaYaAkili #JaliAfyaYako FOLLOW Mirembe National Mental Health Hospital

NIWAKUMBUSHE SASA AFYA YA AKILI.

"siyo tu mwili wako unahitaji kutunzwa, bali pia akili yako. Pumzika, fanya mazoezi, kula vizuri, na zaidi ya yote, usisite kuomba msaada unapohitaji. Tuwe na afya bora ya akili na mwili!" 
#AfyaYaAkili #JaliAfyaYako

FOLLOW <a href="/Mirembe_hosptz/">Mirembe National Mental Health Hospital</a>
Usijisahau_tz (@usijisahautz) 's Twitter Profile Photo

Afya yako ya akili inaweza kuboreshwa kwa kufanya vitu vidogo vidogo, Jaribu na ujionee matokeo yake. #Usijisahau #JaliAfyaYako

Afya yako ya akili inaweza kuboreshwa kwa kufanya vitu vidogo vidogo, Jaribu na ujionee matokeo yake.

#Usijisahau
#JaliAfyaYako
Pona Health 🇹🇿 (@pona_health) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi mtu anayechukua uamuzi wa kujiua huwa anakuwa amepitia mjumuiko wa changamoto nyingi za afya ya akili na hali ngumu za kimaisha. Na mtu huyu huonesha dalili... Soma zaifi👇👇👇👇👇 #Weweniwathamani. #Ulimwenguunasubiriusaidiziwako. #Kataakujinyonga.

Mara nyingi mtu anayechukua uamuzi wa kujiua huwa anakuwa amepitia mjumuiko wa changamoto nyingi za afya ya akili na hali ngumu za kimaisha. 

Na mtu huyu huonesha dalili...
Soma zaifi👇👇👇👇👇

#Weweniwathamani.
#Ulimwenguunasubiriusaidiziwako.
#Kataakujinyonga.
Usijisahau_tz (@usijisahautz) 's Twitter Profile Photo

Sijui kama mnajua hili, ila kuna namna mazoezi yanaweza ‘kuboost’ mood yako na kukufanya ujiskie bora zaidi. Kuna namna pia mazoezi hupunguza msongo wa mawazo hivyo wataalamu wanashauri “tusijisahau na tufanye mazoezi” #Usijisahau #JaliAfyaYako

Sijui kama mnajua hili, ila kuna namna mazoezi yanaweza ‘kuboost’ mood yako na kukufanya ujiskie bora zaidi. Kuna namna pia mazoezi hupunguza msongo wa mawazo hivyo wataalamu wanashauri “tusijisahau na tufanye mazoezi” 

#Usijisahau
#JaliAfyaYako
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Usijisahau_tz Kabisa, Mimi ni shuhuda wa hili, hata kama mood yangu haiko poa hua najilazimosha kufanya mazoezi baadae nakaa poa kabisa.. #Usijisahau #JaliAfyaYako

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MTINDO BORA WA MAISHA KINGA YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA Na WAF - Geneva, Usisi Imeelezwa kuwa uzingatiaji mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi pamoja na ulaji wa vyakula unaofaa kwa kupunguza matumizi ya chumvi, sukari na mafuta husaidia kupunguza magonjwa

MTINDO BORA WA MAISHA KINGA YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Na WAF - Geneva, Usisi

Imeelezwa kuwa uzingatiaji mtindo bora wa maisha ikiwemo kufanya mazoezi pamoja na ulaji wa vyakula unaofaa kwa kupunguza matumizi ya chumvi, sukari na mafuta husaidia kupunguza magonjwa
Pona Health 🇹🇿 (@pona_health) 's Twitter Profile Photo

2️⃣.Mazoezi ya Mara kwa Mara: Fanya mazoezi mepesi kama kutembea, yoga kwa wajawazito, au mazoezi ya kunyoosha ili kusaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu. 3️⃣. Fuatilia Viwango vya Sukari: Angalia viwango vya sukari kwenye damu mara kwa mara kama ilivyoagizwa na daktari.

Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

🚴‍♂️ Mazoezi sio tu kwa afya ya moyo wako ❤️ Mazoezi: ➡️yanaweza pia kusaidia mapafu yako 🫁, misuli 💪, na mfumo wako wa mzunguko wa damu na kinga 🌟 #MtuNiAfya #Mazoezi #Afya

🚴‍♂️ Mazoezi sio tu kwa afya ya moyo wako ❤️ 

Mazoezi: 

➡️yanaweza pia kusaidia mapafu yako 🫁, misuli 💪, na mfumo wako wa mzunguko wa damu na kinga 🌟 

#MtuNiAfya #Mazoezi #Afya
Pona Health 🇹🇿 (@pona_health) 's Twitter Profile Photo

Wagonjwa wa kisukari wako katika hatari ya kupata magonjwa ya figo. Mwaka 2019 zaidi ya watu milioni 2 walikufa kutokana na magonjwa ya figo yasababishwayo na kisukari. Fahamu hatua anazoweza kuchukua mtu mwenye kisukari ili kuzuia au kuchelewesha magonjwa ya figo: Threads 🧵👇

Wagonjwa wa kisukari wako katika hatari ya kupata magonjwa ya figo. Mwaka 2019 zaidi ya watu milioni 2 walikufa kutokana na magonjwa ya figo yasababishwayo na kisukari. Fahamu hatua anazoweza kuchukua mtu mwenye kisukari ili kuzuia au kuchelewesha magonjwa ya figo:

Threads 🧵👇
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Kadri Umri unavyosogea, tunapoteza misuli 💪 ➡️Hali inajulikana kama #sarcopenia. ✅Kuanzia umri wa miaka 30, misuli inaweza kupungua kwa asilimia 3-5 kwa kila muongo ikiwa haitunzwi kwa bidii. Mazoezi ya mara kwa mara🏋️‍♂️, yanaweza kusaidia kupunguza mtu kupoteza misuli, na

Kadri Umri unavyosogea, tunapoteza misuli 
💪

➡️Hali inajulikana kama #sarcopenia. 

✅Kuanzia umri wa miaka 30, misuli inaweza kupungua kwa asilimia 3-5 kwa kila muongo ikiwa haitunzwi kwa bidii. 

Mazoezi ya mara kwa mara🏋️‍♂️, yanaweza kusaidia kupunguza mtu kupoteza misuli, na
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

#MtuNiAfya | Je Unafahamu kuwa na Shinikizo kubwa la damu huchangia; 🧠 Kiharusi 👁️‍Upofu ❤️ Ugonjwa wa moyo 🛌 Ugonjwa wa kudumu wa figo 🛑 Upungufu wa nguvu za kiume 🧓 Ugonjwa wa kupoteza ufahamu (Dementia) ✅ Pima presha ya damu; Fahamu namba zako halafu zingatia ushauri

#MtuNiAfya | Je Unafahamu kuwa na Shinikizo kubwa la damu huchangia;

🧠 Kiharusi
👁️‍Upofu
❤️ Ugonjwa wa moyo
🛌 Ugonjwa wa kudumu wa figo
🛑 Upungufu wa nguvu za kiume
🧓 Ugonjwa wa kupoteza ufahamu (Dementia)

✅ Pima presha ya damu; Fahamu namba zako halafu zingatia ushauri
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

KIHARUSI/STROKE🧠 hutokea pale mishipa ya kwenye ubongo inapoziba au kupasuka ➡️Shirika la Afya Duniani linakadiria kila mwaka watu milioni 15 hupata kiharusi duniani. ➡️Kati ya 10 wanaopata kiharusi 3 hufariki papo-hapo na 3 huachwa na ulemavu wa kudumu. PUNGUZA HATARI

KIHARUSI/STROKE🧠  hutokea pale mishipa ya kwenye ubongo inapoziba au kupasuka 

➡️Shirika la Afya Duniani linakadiria kila mwaka watu milioni 15 hupata kiharusi duniani. 

➡️Kati ya 10 wanaopata kiharusi 3 hufariki papo-hapo na 3 huachwa na ulemavu wa kudumu.

PUNGUZA HATARI
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Shinikizo kubwa la damu huweza kuathiri moyo na kusababisha Ugonjwa wa moyo. Unaupenda moyo wako? 👇Dhibiti Shinikizo la Damu kwa yafuatayo: 🍽️ Dhibiti chumvi 🥗 Kula mlo sahihi 🏃🏼Fanya mazoezi ⬇️ Dhibiti uzito 🚭 Acha Sigara 🍺 Dhibiti pombe 🏥 Pima afya, zingatia matibabu

Shinikizo kubwa la damu huweza kuathiri moyo na kusababisha Ugonjwa wa moyo.

Unaupenda moyo wako? 

👇Dhibiti Shinikizo la Damu kwa yafuatayo:

🍽️ Dhibiti chumvi
🥗 Kula mlo sahihi
 🏃🏼Fanya mazoezi
⬇️ Dhibiti uzito
🚭 Acha Sigara
🍺 Dhibiti pombe
🏥 Pima afya, zingatia matibabu
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

🚭 Kuepuka aina zote za tumbaku (Sigara, Shisha) ni muhimu katika kuzuia magonjwa ya moyo. 🚬 Kuvuta sigara huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo kwa mara 2-4. 💔 Kuvuta moshi wa sigara kutoka kwa mtu mwingine huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo kwa 25-30%. ❤️ Linda Moyo wako;

🚭 Kuepuka aina zote za tumbaku (Sigara, Shisha) ni muhimu katika kuzuia magonjwa ya moyo.

🚬 Kuvuta sigara huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo kwa mara 2-4.

💔 Kuvuta moshi wa sigara kutoka kwa mtu mwingine huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo kwa 25-30%.

❤️ Linda Moyo wako;
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu Njema, Tuanze na Afya Punguza matumizi ya sukari🚫🍭 Punguza kunywa soda na vinywaji vyenye sukari nyingi❌ Sukari nyingi inaweza kuongeza hatari ya kupata: ➡️Unene ➡️kisukari ➡️Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine ya kudumu. Mwili wako utakushukuru! 🙌 #MtuNiAfya

Jumatatu Njema, Tuanze na Afya

Punguza matumizi ya sukari🚫🍭

Punguza kunywa soda na vinywaji vyenye sukari nyingi❌

Sukari nyingi inaweza kuongeza hatari ya kupata:
➡️Unene
➡️kisukari
➡️Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine ya kudumu. 

Mwili wako utakushukuru! 🙌 #MtuNiAfya
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Matunda yenye rangi nyekundu yana viinilishe vinavyoitwa #anthocyanins. anthocyanins hupatia matunda haya rangi yao angavu🍓🍒🍎🍑🍅 Viinilishe hivi husaidia kupunguza inflammation, kuimarisha afya ya moyo ❤️, na vinaweza kupunguza hatari ya baadhi ya saratani. Ongeza matunda

Matunda yenye rangi nyekundu yana viinilishe vinavyoitwa #anthocyanins.

anthocyanins hupatia matunda haya rangi yao angavu🍓🍒🍎🍑🍅

Viinilishe hivi husaidia kupunguza inflammation, kuimarisha afya ya moyo ❤️, na vinaweza kupunguza hatari ya baadhi ya saratani. 

Ongeza matunda