Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile
Umande

@umandenadengu

Professional Accountant, DSE and TMX Broker Dealer, Umande Unit Trust. Founder Buyuni Hydroponics Farm. Think Big, Start Small, Start now!

ID: 436964001

linkhttp://www.coresecurities.co.tz calendar_today14-12-2011 20:04:16

22,22K Tweet

674 Followers

1,1K Following

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Kabla hujaongea na mtu wa Kenya meulize kabila lake, yaani anatoka County gani. Huyu ni Mluhya, walikuwa wamegawana Gikuyu Executive Dholuo legislature Lugha Jaji Mkuu huyu. Akafuta ushindi wa arap Ruto kujitutumua sasa anajaribu Urais, hawezi zamu ya Waluhya ishapita.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Iwepo wa Vyama vingi ni mgumu sana kuufurahia kama Wananchi hawana mengi. Nji kama Kenya vyama vingi ni lazima shauri ya Ukabila, au UK Lords and Commons, lakini sisi unampinga nani unampinga nini? Reference point yetu tunu zetu ni TANU Ana Yanga na Karume na Mkwawa. Kipya nini?

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Bullshit! Rubbish! vm.tiktok.com/ZMSF9Gp1p/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: tiktok.com/tiktoklite

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Kukazia hukumu anaweza kufanya mtu yeyote mwenye uwezo huo physically. Kama aliyeshinda anao uwezo atakazia au Polisi kama wanaweza. Kama hawawezi hawawezi. Mkuu wa Wilaya anayo madaraka, ya Rais, anaweza kabisa. Kukazia madaraka ni kumpa mtu haki yake.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Sasa anatakiwa haraka aende kwa Afande Muliro store statement under oath. Kwa vile alimuons aliyemshambilia amtaje jina akamstwe, kama hamfahamu schore picha kwa msaada wa trained Polisi Artists iwekwe magazetini watamtambua kama ana hijab au miwani au kapelo au ni Mwalabu tuone.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Kuna maelezo zaidi. Watakatofu wa Uganda walifukuzwa na Kabaka Mutesa 1885 wakakimbilia Bukumbi Mission wakiwa na Padre Lourdel na Bruda Amans. Mtemi alipokufa mwanaye mrithi Kabaka Mwanga akawaomba warudi Buganda, wakarudi na mashua 2 weeks. Ni bora Magufuli Bridge ingewapo.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Hii haina ubaya hata kidogo, huyu ni Kiongozi zetu. Bora leo kuna magari, siku zile tulikuwa tunetembea Meatu hadi Mwadui kumpokea Karume. Hata Pasaka hutembea maili 74 hadi Pariokia ya Sayusayu. Mungu ni Mungu Rais ni Rais.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Ni Nji Yao ni Rais wao, sawa kabisa. Tangu zamani sana sensa na Uchaguzi husinamiwa na watoto wa shule, si tumehuru ya tundulissu kutoka Kenya au mbinguni ni Watanzania wa kawaida.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Ben Sanane alisema alitekwa na Vijana wa Rorya, ndiyo maana hajampa pole tundulissu hadi leo. Aulizwe Mbowe boss wake. Azorygeanda waulie magazeti ya Kenya yalimwajiri kuleta breakingnews Kila kada wa CCM au Polisi akichinjwa na magaidi wa UAMSHO. Mdude tunasubiri ripo ya ndugu

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Go ahead. Starting point ni 83%/17% ya Magu na tundulissu, nusu ya 17% ni Waarabu wa CUF. Itabidi ujieleze why and how such a huge swing?

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Imendokea kwa Kiingreza faida ya mabeberu khasa wale Mashoga wa Bunge la Brussels. Heche ana broken English hawezi kuandika hayo kapewa kalamu kusaini tu.

Umande (@umandenadengu) 's Twitter Profile Photo

Marekani mpaka leo hawajampata aliyemuua Lee Harvey Oswald aliyemuua Kennedy. Na hata Sweden hadi leo hawampata muuaji wa Palme. Kenya hawajampata aliyemuua Ojwang wamekamata mlalamikaji sliyekuwa anatukannwa, kakosra kulalamika.