TUGHE TANZANIA (@tughetanzania) 's Twitter Profile
TUGHE TANZANIA

@tughetanzania

ID: 1472794405224558600

calendar_today20-12-2021 05:02:37

279 Tweet

270 Followers

16 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mary Yunge (Mwakilishi TUGHE): Kwenye Chama chetu cha Wafanyakazi (TUGHE) huwa tunapokea Maoni na Ushauri kutoka kwa Wafanyakazi kuhusu unyonyeshaji Kwa mfano suala la Likizo ya Mama aliyejifungua Mtoto Njiti, ni suala ambalo tumelipokea kwa muda mrefu Sasa Mama akijifungua

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mary Yunge (Mwakilishi TUGHE): Elimu itolewe kwa Waajiri kuhusu haki na Umuhimu wa Waajiriwa Kunyonyesha lakini pia Waajiriwa wapewe elimu ya haki zao za Kunyonyesha Wakizijua haki zao ni rahisi kutambua zikivunjwa #JamiiForums #BreastfeedingMoms #WikiYaUnyonyeshaji

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mercy-Grace Seuya (Mwakilishi Chama cha Waajiri Tanzania-ATE): Tamko kutoka kwa Makamu wa Rais kuhusu likizo ya Mama anayejifungua Mtoto Njiti bado ni tamko, bado halijawa Sheria Ni kweli ni tamko kubwa na linatoa gurudumu la utunzi wa Sheria kuhusiana na hilo #JamiiForums

TUGHE TANZANIA (@tughetanzania) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesema kuwa kitaendelea kushirikiana kwa karibu na Uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kuboresha maslahi ya Watumishi wake pamoja na kuchangia katika ustawi wa Taasisi hiyo.

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kinaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kuwatakiwa Watanzania wote Heri ya kumbukizi ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Zuhura Yunus aliyemuwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete. zuhura yunus Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi #TUGHE30 #MkutanoMkuuTUGHE

Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Bi. Zuhura Yunus aliyemuwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete.
<a href="/venusnyota/">zuhura yunus</a> <a href="/OwmNa/">Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi</a> 
#TUGHE30 #MkutanoMkuuTUGHE
TUGHE TANZANIA (@tughetanzania) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ( TUGHE ) Kinawatakia Heri ya Maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar #mapinduzizanzibar #zanzibartanzania #zanzibarrevolution

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ( TUGHE ) Kinawatakia Heri ya Maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar 
#mapinduzizanzibar 
#zanzibartanzania #zanzibarrevolution
TUGHE TANZANIA (@tughetanzania) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Sikukuu ya Eid El-Fitr 🌙Tusherekee kwa furaha, Amani na Upendo #eidmubarak2025🌙🕌❤️ #tughetanzania #EidMubarak

Heri ya Sikukuu ya Eid El-Fitr 🌙Tusherekee kwa furaha, Amani na Upendo 
#eidmubarak2025🌙🕌❤️ 
#tughetanzania 
#EidMubarak
DMF (@dmftanzania) 's Twitter Profile Photo

Extended maternity and paternity leave, flexible work arrangements, breastfeeding support, compassionate leave, and mental health care. We extend our thanks to every organisation that contributed to this process.