Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID:3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

6,0K Tweet

232,6K Takipçi

135 Takip Edilen

Follow People
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

SHILINGI MILIONI 500 ZATENGWA MRADI WA AFUA ZA UTAMBUZI WA SARATANI YA RETINA KWA WATOTO

Na WAF - Mbeya.

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga shilingi Milioni 500 kwa ajili ya Mradi wa kutekeleza afua za kuwezasha utambuzi wa mapema wa watoto wenye matatizo ya macho ikiwemo

SHILINGI MILIONI 500 ZATENGWA MRADI WA AFUA ZA UTAMBUZI WA SARATANI YA RETINA KWA WATOTO Na WAF - Mbeya. Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga shilingi Milioni 500 kwa ajili ya Mradi wa kutekeleza afua za kuwezasha utambuzi wa mapema wa watoto wenye matatizo ya macho ikiwemo
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WATALAAMU WA AFYA SHIRIKIANENI, KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI

Na WAF - Dodoma

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa maagizo lwa wataalamu wa Afya kushirikiana ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi.

Prof. Nagu amesema hayo leo 17 Mei, 2024 wilayani ya Kondoa

WATALAAMU WA AFYA SHIRIKIANENI, KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI Na WAF - Dodoma Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa maagizo lwa wataalamu wa Afya kushirikiana ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Prof. Nagu amesema hayo leo 17 Mei, 2024 wilayani ya Kondoa
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

MADAKTARI BINGWA WA SAMIA WAMREJESHEA FURAHA MTOTO JACKLINE SINGIDA

Na WAF, Singida

Madaktari Bingwa na Bobezi wa Samia wakiwa mkoani Singida wamefanikisha upasuaji mkubwa kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwaye Jackline Wilson mkoani humo, na kumtolea uvimbe aliodumu nao

MADAKTARI BINGWA WA SAMIA WAMREJESHEA FURAHA MTOTO JACKLINE SINGIDA Na WAF, Singida Madaktari Bingwa na Bobezi wa Samia wakiwa mkoani Singida wamefanikisha upasuaji mkubwa kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwaye Jackline Wilson mkoani humo, na kumtolea uvimbe aliodumu nao
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

DAKTARI, MGONJWA KWENDA KIDIJITALI, KUWASILIANA KABLA YAKUFIKA ENEO LA HUDUMA

Na WAF - Dar es Salaam

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, amesema Serikaki kupitia Wizara ya Afya iko mbioni kuanzisha mfumo wa kuweka ahadi baina ya Watoa huduma.z Afya na Wapewa huduma

DAKTARI, MGONJWA KWENDA KIDIJITALI, KUWASILIANA KABLA YAKUFIKA ENEO LA HUDUMA Na WAF - Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, amesema Serikaki kupitia Wizara ya Afya iko mbioni kuanzisha mfumo wa kuweka ahadi baina ya Watoa huduma.z Afya na Wapewa huduma
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAGONJWA WENGI WANASTAHILI HUDUMA ZA KIBINGWA

Na WAF, Ikungi-Singida

Wakati mahitaji ya huduma za afya zinazidi kuongezeka, wagonjwa wengi katika Wilaya ya Ikungi wanaonekana kustahili na kuhitaji huduma za kibingwa.

Hayo yamebainishwa na daktari bingwa wa magonjwa ya ndani

WAGONJWA WENGI WANASTAHILI HUDUMA ZA KIBINGWA Na WAF, Ikungi-Singida Wakati mahitaji ya huduma za afya zinazidi kuongezeka, wagonjwa wengi katika Wilaya ya Ikungi wanaonekana kustahili na kuhitaji huduma za kibingwa. Hayo yamebainishwa na daktari bingwa wa magonjwa ya ndani
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA NI BORA, SALAMA, ZAKUWANUFAISHA WATANZANIA

Na WAF, Ikungi-Singida

Mganga Mkuu wa wilaya ya Ikungi Dkt Dorilisa Mlenga amewata wananchi wa wilaya ya Ikungi kujitokeza kwa wingi katika huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa Rais Samia na

HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA NI BORA, SALAMA, ZAKUWANUFAISHA WATANZANIA Na WAF, Ikungi-Singida Mganga Mkuu wa wilaya ya Ikungi Dkt Dorilisa Mlenga amewata wananchi wa wilaya ya Ikungi kujitokeza kwa wingi katika huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa Rais Samia na
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WATAFITI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI ZA KUFANYA TAFITI ZA AFYA

Na WAF - Dar Es Salaam

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa.

WATAFITI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI ZA KUFANYA TAFITI ZA AFYA Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa.
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

VINARA 26 ELIMU YA UKIMWI, VIASHIRIA HATARISHI KUJIUNGA NA MPANGO WA MAJARIBIO WA WATAALAM WA KITAIFA WA KUJITOLEA

Na Waf Dodoma

Vijana 26 kutoka katika wilaya za Bahi, Chamwino na Mafinga wamechaguliwa kujiunga na mpango wa Majaribio wa Wataalamu wa Kitaifa wa kujitolea

VINARA 26 ELIMU YA UKIMWI, VIASHIRIA HATARISHI KUJIUNGA NA MPANGO WA MAJARIBIO WA WATAALAM WA KITAIFA WA KUJITOLEA Na Waf Dodoma Vijana 26 kutoka katika wilaya za Bahi, Chamwino na Mafinga wamechaguliwa kujiunga na mpango wa Majaribio wa Wataalamu wa Kitaifa wa kujitolea
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

CANADA KUENDELEA KUCHANGIA MFUKO WA AFYA WA PAMOJA ILI TANZANIA KUFIKIA AFYA KWA WOTE

Na WAF - Dar Es Salaam

Serikalo ya Canada imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kushirikiana pamoja katika kuboresha Sekta ya Afya ili kufikia malengo ya afya kwa wote huku huduma bora za

CANADA KUENDELEA KUCHANGIA MFUKO WA AFYA WA PAMOJA ILI TANZANIA KUFIKIA AFYA KWA WOTE Na WAF - Dar Es Salaam Serikalo ya Canada imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kushirikiana pamoja katika kuboresha Sekta ya Afya ili kufikia malengo ya afya kwa wote huku huduma bora za
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu leo Mei 16, 2024 amendelea na Ziara yake ya kukagua Miradi ya Afya na kuzungumza na watumishi wa Afya Jijini Dar es Salaam ambapo ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara yake ametembelea Hospitalini ya Rufaa ya Amana akiwa hapo Katibu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu leo Mei 16, 2024 amendelea na Ziara yake ya kukagua Miradi ya Afya na kuzungumza na watumishi wa Afya Jijini Dar es Salaam ambapo ikiwa ni siku yake ya pili ya ziara yake ametembelea Hospitalini ya Rufaa ya Amana akiwa hapo Katibu
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Na WAF, SIMANJIRO MANYARA

Madakatari Bingwa na Bobezi walioweka kambi katika Hospitali ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wamefanikiwa kumtolea shilingi mia mtoto Abdallah mwenye umri wa mwaka mmoja.

Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Benedicto Mwampashi kutoka Muhimbili,

Na WAF, SIMANJIRO MANYARA Madakatari Bingwa na Bobezi walioweka kambi katika Hospitali ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wamefanikiwa kumtolea shilingi mia mtoto Abdallah mwenye umri wa mwaka mmoja. Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Benedicto Mwampashi kutoka Muhimbili,
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24

TUANCHE TABIA YA KUWANYANYAPAA WAGONJWA WA AFYA YA AKILI - WAZIRI UMMY

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wananchi kuacha tabia ya kuwanyanyapaa wagonjwa wa Afya Akili pamoja na na kuwahi kufika kwenye

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 TUANCHE TABIA YA KUWANYANYAPAA WAGONJWA WA AFYA YA AKILI - WAZIRI UMMY Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wananchi kuacha tabia ya kuwanyanyapaa wagonjwa wa Afya Akili pamoja na na kuwahi kufika kwenye
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24

PONGEZI PROF. JANABI KWA KUTOA ELIMU JUU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi kwa kutoa elimu kwa

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 PONGEZI PROF. JANABI KWA KUTOA ELIMU JUU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi kwa kutoa elimu kwa
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24

SHUKRANI KWA WAZIRI MKUU KUHAMASISHA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa jitihada zake za

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 SHUKRANI KWA WAZIRI MKUU KUHAMASISHA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa jitihada zake za
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24

SERIKALI IMENUNUA NA KUSIMIKA VITI VYA KUTOLEA HUDUMA ZA KINYWA NA MENO 150

Na WAF - Dodoma

Wizara ya Afya imeimarisha Huduma za Afya ya Kinywa na Meno hapa nchini katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024 Wizara imenunua

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 SERIKALI IMENUNUA NA KUSIMIKA VITI VYA KUTOLEA HUDUMA ZA KINYWA NA MENO 150 Na WAF - Dodoma Wizara ya Afya imeimarisha Huduma za Afya ya Kinywa na Meno hapa nchini katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024 Wizara imenunua
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

ALIYETESEKA KWA MIAKA 10 NA MAWE KWENYE KIBOFU AFANYIWA UPASUAJI

Na WAF - Dodoma

Madaktari bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kutoa mawe kwenye kibofu cha mkojo cha Bw. Leonard Mhunda Mkazi wa Chamwino Mkoani Dodoma ambayo yalimtesa kwa takriban miaka 10.

Akizungumza mara

ALIYETESEKA KWA MIAKA 10 NA MAWE KWENYE KIBOFU AFANYIWA UPASUAJI Na WAF - Dodoma Madaktari bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kutoa mawe kwenye kibofu cha mkojo cha Bw. Leonard Mhunda Mkazi wa Chamwino Mkoani Dodoma ambayo yalimtesa kwa takriban miaka 10. Akizungumza mara
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

KAONGEZENI UPENDO KWA WAGONJWA ONDOENI MALALAMIKO KWA WAHITAJI.

Na WAF-Mbeya

Katibu Tawala wa mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amewataka madaktari Bingwa wa Rais Samia kufanya kazi kwa weledi na upendo kwa wagonjwa Pamoja na kuondoa malalamiko kwa wahitaji ikiwa ndio lengo la Mhe.

KAONGEZENI UPENDO KWA WAGONJWA ONDOENI MALALAMIKO KWA WAHITAJI. Na WAF-Mbeya Katibu Tawala wa mkoa wa Mbeya Rodrick Mpogolo amewataka madaktari Bingwa wa Rais Samia kufanya kazi kwa weledi na upendo kwa wagonjwa Pamoja na kuondoa malalamiko kwa wahitaji ikiwa ndio lengo la Mhe.
account_circle
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24

VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYAONGEZEKA KUFIKIA ELFU 12,266

Na WAF - Dodoma

Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya pamoja na uboreshaji wa miundombinu Serikali kupitia Wizara ya Afya imeongeza vituo vya

-UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYAONGEZEKA KUFIKIA ELFU 12,266 Na WAF - Dodoma Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya pamoja na uboreshaji wa miundombinu Serikali kupitia Wizara ya Afya imeongeza vituo vya
account_circle