M.Odegard@@ (@trossard78) 's Twitter Profile
M.Odegard@@

@trossard78

@yanga sc,@fc barcelona &@Arsenal

ID: 1702385354332880896

calendar_today14-09-2023 18:14:50

1,1K Tweet

251 Takipçi

1,1K Takip Edilen

M.Odegard@@ (@trossard78) 's Twitter Profile Photo

Family zetu zinatutegemea kwa mengi sana , wadogo zetu wanatuona kama wakombozi wa family kama kijana mpambanji hutakiwi kuyumbishwa na kitu chochote kile , Take home Tusisahau ahadi kwa wadogo zetu wanatutegemea sana!!!

Kwenye maisha kuna moment nyingi unaweza pitia lkn kamwe isikate tamaa kuna nguvu katika kuto kata tamaa , Hiii picha inatoa tafasri nyingi za vijana tunao hustle kutafuta chochote kitu familia zetu ziweze kula

Kwa hii wave inayoendelea kwa sasa katika jamiii ya utandawazi baada ya miaka 10+ tutakuwa na kizazi cha ajabu sana kisichoweza hata kutatua changamoto ndogo ndogo , aibu inakuwa kubwa zaidi mpaka msomi wa dipoma na degree bado hawezi kutatua hata matatzo ambayo ni Routine

Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

Bad debate nights happen. Trust me, I know. But this election is still a choice between someone who has fought for ordinary folks his entire life and someone who only cares about himself. Between someone who tells the truth; who knows right from wrong and will give it to the

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha

Masaki (@selemasaki) 's Twitter Profile Photo

Ukishindwa kuishi na familia ya X basi tena, hakuna mahali utaishi na watu. Weka handle na urepost uunganishwe na familia 🥀🌷🌹💐🌺 Follow 4 follow

M.Odegard@@ (@trossard78) 's Twitter Profile Photo

Kuna namna kwa sasa graduates wengi tunapitia baada ya chuo unarudi mtaani huna mtaji ( capital) , huna idea ya ujasiliamari + fear of failure na social norms ambazo wengi wetu jamii ina amini mtu aliye fanikiwa lazma awe ameajiriwa hiii kitu inatupa stress vijana wengi