Cake's and foods
@rahma_makeki
SIMBA SPORTS CLUB❤️❤️
MAN CITY 🩵🩵
ID: 1797332145213509633
02-06-2024 18:19:33
4,4K Tweet
1,1K Takipçi
775 Takip Edilen
Chini ya uongozi thabiti wa Samia Suluhu , Taifa letu linaaminika Linasikilizwa Na linaheshimika katika meza za maamuzi ya dunia Hii ni matokeo ya diplomasia makini kazi na maono ya maendeleo Tanzania inasonga mbele kwa hadhi na utu #KaziNaUtu #TunasongaMbele
Mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu wa BIMA ya afya kwa wote umerudisha tabasamu ambalo familia NYINGI ziliikosa. Tuna furahi na kutamba kwakuwa sasa hata tukipata changamoto uhakika wa matitabu upo.