
Orchitis umami
@orchitisu
ID: 1230226647900618753
19-02-2020 20:24:38
1,1K Tweet
29 Takipçi
788 Takip Edilen



















Katika vitu ambavyo uongozi wa Young Africans SC umefanikiwa kujipambanua ni namna wameweza kuigusa jamiii ya wapenda soka hususani mashabiki wa timu yao kwa kubuni programs mbali mbali zinazowagusa moja kwa moja,binafsi nawapa KONGOLE viongozi wote wa Yanga kwa hizi jitihada.