Hilder Gasper (@hildertz) 's Twitter Profile
Hilder Gasper

@hildertz

Concerned African Citizen🇹🇿| Geopolitics Analyst|Member EAYN&SAYOF| Economic Diplomacy Expert| MBA-LG|YALI Fellow|Scouter (WBC)|EAC Youth Fellow|AWE Fellow|

ID: 1156137443688681472

calendar_today30-07-2019 09:40:21

3,3K Tweet

482 Takipçi

1,1K Takip Edilen

United Nations Geneva (@ungeneva) 's Twitter Profile Photo

Health is a basic human right. Everyone should be able to access quality health services whenever & wherever they need them, 𝘄𝗶𝘁𝗵𝗼𝘂𝘁 𝗱𝗶𝘀𝘁𝗶𝗻𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 of any kind. See how you can help achieve #HealthForAll: buff.ly/471tzHG

Health is a basic human right.

Everyone should be able to access quality health services whenever & wherever they need them, 𝘄𝗶𝘁𝗵𝗼𝘂𝘁 𝗱𝗶𝘀𝘁𝗶𝗻𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 of any kind.

See how you can help achieve #HealthForAll: buff.ly/471tzHG
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Viongozi Mbalimbali na Wanachama wa CCM wakiwa katika Viwanja Vya Tambuka reli, jijini Dodoma, ambapo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi, kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Ofisi za

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dodoma, Mei 28, 2025 Mapema leo pamoja na viongozi, wananchi na baadhi ya wanachama katika uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Ofisi za Makao Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili muhimu ni hatua nyingine inayoakisi ndoto za waasisi wetu na wananchi kwa ujumla, juu

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yashiriki maadhimisho ya Siku ya Denmark, yaahidi kuendeleza ushirikiano Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza Watanzania na Wanadiplomasia waliko nchini katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Katiba ya

Tanzania yashiriki maadhimisho ya Siku ya Denmark, yaahidi kuendeleza ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza Watanzania na Wanadiplomasia waliko nchini katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Katiba ya
YouLead Africa (@oneyoungafrica) 's Twitter Profile Photo

Empowering Youth for Sustainable Development: YouLead is thrilled to participate once again in the Strengthening Policy Dialogue to accelerate SDG implementation, thanks to our partners at Danida Fellowship Centre. Our EAC youth fellows are currently in Copenhagen, ready to make

Empowering Youth for Sustainable Development: YouLead is thrilled to participate once again in the Strengthening Policy Dialogue to accelerate SDG implementation, thanks to our partners at Danida Fellowship Centre. 
Our EAC youth fellows are currently in Copenhagen, ready to make
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa uwili Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, amefanya kikao na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Jenerali Patrick Nyamvumba kuangazia maeneo muhimu ya

Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa uwili

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo, amefanya kikao na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Jenerali Patrick Nyamvumba kuangazia maeneo muhimu ya
Ofisi ya Makamu wa Rais (@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano wa kimataifa, na uwekezaji endelevu ili kuhakikisha uchumi endelevu wa bahari, kupunguza uchafuzi wa mazingira pamona na kulinda

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mashirika ya umma na Taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika uchangiaji kwa mwaka 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Hilder Gasper (@hildertz) 's Twitter Profile Photo

📣 Mtoto wa Afrika si maskini wa fikra wala wa uwezo ni taa ya kale inayoangaza njia ya kesho ya dunia. 🌍Mtoto huyu anabeba sauti ya bara tajiri, lenye utu na matumaini yasiyoisha. #Heri Siku ya Mtoto wa Afrika African Union UNICEF Tanzania

📣 Mtoto wa Afrika si maskini wa fikra wala wa uwezo ni taa ya kale inayoangaza njia ya kesho ya dunia.
🌍Mtoto huyu anabeba sauti ya bara tajiri, lenye utu na matumaini yasiyoisha. #Heri Siku ya Mtoto wa Afrika  <a href="/_AfricanUnion/">African Union</a> <a href="/UNICEFTanzania/">UNICEF Tanzania</a>
Tanzania Mission to The UN Office | Geneva (@ubalozigeneva) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Tanzania stands firm in upholding human rights and the rule of law. As a mature democracy, we've held seven free and fair elections. We pledge a peaceful environment for the 2025 elections. #Tanzania #Democracy MFA Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria

Tanzania Mission to The UN Office | Geneva (@ubalozigeneva) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 We proudly support freedom of expression! Our vibrant media landscape flourishes under key acts, ensuring access, professionalism, and safety. Together, let's foster a positive and respectful digital space. #Tanzania #MediaFreedom MFA Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Amb. Noel Kaganda

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Daraja la J.P Magufuli kati ya Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilomita 3 lililopo kati ya Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Kufunguliwa kwa Daraja la Magufuli kunakwenda kuondoa adha kwa wananchi waliokuwa wanaipata kwa

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Daraja la J.P Magufuli kati ya Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilomita 3 lililopo kati ya Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza.

Kufunguliwa kwa Daraja la Magufuli kunakwenda kuondoa adha kwa wananchi waliokuwa wanaipata kwa
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19

Matukio mbalimbali kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Chuo cha ufundi Kalwande, Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025.