Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile
Samia Suluhu

@suluhusamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID: 2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,1K Tweet

1,8M Takipçi

27 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dodoma, Mei 28, 2025 Mapema leo pamoja na viongozi, wananchi na baadhi ya wanachama katika uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Ofisi za Makao Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili muhimu ni hatua nyingine inayoakisi ndoto za waasisi wetu na wananchi kwa ujumla, juu