Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile
Dr. Abdullah Hasnuu Makame

@dr_makame

Husband, Dad, Academia, Analyst: Member of East African Legislative Assembly (EALA) . MTAMO
Instagram @abdullahmakame

ID: 918094854378356736

linkhttp://https.www.eac.int calendar_today11-10-2017 12:44:05

32,32K Tweet

21,21K Takipçi

303 Takip Edilen

Abertus Paschal 🇹🇿𝕏 (@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

📍Ikulu, Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

📍Ikulu, Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. 
Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_18_28 ISUBIRISHE nafsi yako pamoja na wamuombao Allah SWT asubuhi na jioni, kwa kutaka radhi zake. Usiwakiuke kwa kutaka pambo la maisha ya dunia. Wala usumtii tuliye mghafilisha moyo wake asitukumbuke, akafuata matamanio yake yakawa yamepita mpaka

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_18_28

ISUBIRISHE nafsi yako pamoja na wamuombao Allah SWT  asubuhi na jioni, kwa kutaka radhi zake. Usiwakiuke  kwa kutaka pambo la maisha ya dunia. Wala usumtii tuliye mghafilisha moyo wake asitukumbuke, akafuata matamanio yake yakawa yamepita mpaka
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #1447_KAREEM #Quran_8_46 "mtini Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUMTII YEYE NA Mtume SAW na tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK 

#1447_KAREEM

#Quran_8_46

"mtini Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUMTII YEYE NA Mtume SAW na tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #1447_KAREEM #Quran_8_46 "mtini Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUMTII YEYE NA Mtume SAW na tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK 

#1447_KAREEM

#Quran_8_46

"mtini Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUMTII YEYE NA Mtume SAW na tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_KAREEM #1447_MUBARAK #Quran_8_46 MTIINI Allah SWT na Mtume SAW, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI. Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI na WENYE KUTII maelekezo yake

#JUMUA_KAREEM 

#1447_MUBARAK 

#Quran_8_46

MTIINI Allah SWT na Mtume SAW, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na SUBIRINI. Hakika Allah SWT yupamoja na WENYE KUSUBIRI 

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI na WENYE KUTII maelekezo yake
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_10_109 "Yafuate yaliyofunuliwa kwa (njia ya) wahyi. Na uwe MWENYE KUSUBIRI mpaka hukumu ya Allah SWT itakapofika - na Yeye ndiye Mbora wa Mahakimu" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe wenye kufuata mafundisho aliyotuletea na atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK

#Quran_10_109

"Yafuate yaliyofunuliwa kwa (njia ya) wahyi. Na uwe MWENYE KUSUBIRI mpaka hukumu ya Allah SWT itakapofika - na Yeye ndiye Mbora wa Mahakimu"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe wenye kufuata mafundisho aliyotuletea na atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_12_90 "Kumbe wewe ndiye Yusuf? Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni ndugu yangu, Allah SWT ametufanyia hisani. Hakika ANAYEMCHA MUNGU na AKASUBIRI basi Allah SWT haachi ukapotea ujira wa wafanyao mema" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_12_90

"Kumbe wewe ndiye Yusuf? Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni ndugu yangu, Allah SWT ametufanyia hisani. Hakika ANAYEMCHA MUNGU na AKASUBIRI basi Allah SWT haachi ukapotea ujira wa wafanyao mema"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#Jumua_MUBARAK #Quran_8_46 "(Mnatakiwa) Mumtii Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu; Na muwe WENYE KUSUBIRI. Hakika Allah SWT yupamoja na wanaosubiri" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tufuate amri zake na tuwe WENYE KUSUBIRI

#Jumua_MUBARAK 

#Quran_8_46

"(Mnatakiwa) Mumtii Allah SWT na Mtume SAW, wala MSIZOZANE mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu; Na muwe WENYE KUSUBIRI. Hakika Allah SWT yupamoja na wanaosubiri"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tufuate amri zake na tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#NASAHA_YA_MTUME_SAW " #ULIMI unaweza kuwa chanzo kikubwa cha wingi wa dhambi (makosa) yako" Kuwe MWENYE KUSUBIRI katika matamshi kunaweza kukuepusha na shari kubwa na dhambi nyingi. Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIR katika Kalima na Matendo yetu

#NASAHA_YA_MTUME_SAW

" #ULIMI unaweza kuwa chanzo kikubwa cha wingi wa dhambi (makosa) yako"

Kuwe MWENYE KUSUBIRI katika matamshi kunaweza kukuepusha na shari kubwa na dhambi nyingi.

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIR katika Kalima na Matendo yetu
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_7_128 (Mtume) Musa AS akawaambia: "Ombeni msaada kwa Allah SWT, na muwe WENYE KUSUBIRI. Hakika ardhi ni ya Allah SWT. Naye humrithisha amtakaye katika waja wake. Na mwisho bora ni wa Wacha-Mungu" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_7_128

(Mtume) Musa AS akawaambia: "Ombeni msaada kwa Allah SWT, na muwe WENYE KUSUBIRI. Hakika ardhi ni ya Allah SWT. Naye humrithisha amtakaye katika waja wake. Na mwisho bora ni wa Wacha-Mungu"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#NASAHA "Hasira inapoingia akilini, hekima huondoka" Mtume Muhammad SAW ametuusia TUSIGHADHIBIKE, bali tuepuke hasira Imam Ali alisema "GHADHABU ni wendawazimu - kumalizika kwa GHADHABU ni kupona wendawazimu Mtume katuusia kukamata udhu tupatapo hasira Rejea #MITHALI 15 1-2

#NASAHA 

"Hasira inapoingia akilini, hekima huondoka"

Mtume Muhammad SAW ametuusia TUSIGHADHIBIKE, bali tuepuke hasira

Imam Ali alisema "GHADHABU ni wendawazimu - kumalizika kwa GHADHABU ni kupona wendawazimu

Mtume katuusia kukamata udhu tupatapo hasira

Rejea #MITHALI 15 1-2
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_25_75 "Hao ndio watakaolipwa makao ya juu kwa kuwa walikuwa WENYE KUSUBIRI, na watakuta humo maamkio na salamu" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, atujaalie kuwa waja atakaowajaalia neema ya kulipwa Makao ya Juu

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_25_75

"Hao ndio watakaolipwa makao ya juu kwa kuwa walikuwa WENYE KUSUBIRI, na watakuta humo maamkio na salamu"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, atujaalie kuwa waja atakaowajaalia neema ya kulipwa Makao ya Juu
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#NDUGAI Bunge la Tanzania limeondokewa #Kongwa imeondokewa Familia imeondokewa Chama Cha Mapinduzi imeondokewa Tanzania tumeondokewa, Afrika Mashariki tumeondokewa Ya kuandika ni mengi, lakini ninashindwa pa kuanzia -itoshe kumshukuru na kumrejeshea Bwana #Ayubu_1_21

#NDUGAI

<a href="/bunge_tz/">Bunge la Tanzania</a> limeondokewa
#Kongwa imeondokewa
Familia imeondokewa 
<a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> imeondokewa 
Tanzania tumeondokewa,
Afrika Mashariki tumeondokewa

Ya kuandika ni mengi, lakini ninashindwa pa kuanzia -itoshe kumshukuru na kumrejeshea Bwana

#Ayubu_1_21
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_21_85 "...... Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa WENYE KUSUBIRI' Kuwe MWENYE KUSUBIRI ni mwenendo mwema mno, ambao Allah SWT aliaajaalia Manabii wakd kuwa nao. Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_21_85

"...... Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa WENYE KUSUBIRI'

Kuwe MWENYE KUSUBIRI ni mwenendo mwema mno, ambao Allah SWT aliaajaalia Manabii wakd kuwa nao.

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_7_126 "Ewe Mola Mlezi wetu! Tumiminie SUBIRA na utufishe hali ni Waislamu" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, atujaalie maisha ya upendo, kuthaminiana, kuvumiliana na atujaalie husunul khatima

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_7_126

"Ewe Mola Mlezi wetu! Tumiminie SUBIRA na utufishe hali ni Waislamu"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, atujaalie maisha ya upendo, kuthaminiana, kuvumiliana na atujaalie husunul khatima
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_KAREEM #Quran_25_75 "Hao ndio watakaolipwa makao ya juu walikuwa WENYE KUSUBIRI na watakuta humo maamkio na salamu" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, husunul khatima na tuwe wenye kulipwa makao ya juu pamoja na wema watakaofuzu kupata ridhaa yake

#JUMUA_KAREEM 

#Quran_25_75

"Hao ndio watakaolipwa makao ya juu walikuwa WENYE KUSUBIRI na watakuta humo maamkio na salamu"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI,  husunul khatima na tuwe wenye kulipwa makao ya juu pamoja na wema watakaofuzu kupata ridhaa yake
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#MWEZI_ALIOZALIWA_MTUME Miaka 1500 iliyopita ulimwengu ulipata Rehema kuu ya kuzaliwa kwa Kiongozi Bora Kabisa kuwahi kuishi hapa duniani - Nabii Muhammad SAW "Tusiwe wepesi kukosoa - ikitokea tunatazungumzia mapungufu, tutumie maneno mazuri, BALI tuwe wepesi kutambua mazuri"

#MWEZI_ALIOZALIWA_MTUME

Miaka 1500 iliyopita ulimwengu ulipata Rehema kuu ya kuzaliwa kwa Kiongozi Bora Kabisa kuwahi kuishi hapa duniani - Nabii Muhammad SAW

"Tusiwe wepesi kukosoa - ikitokea tunatazungumzia mapungufu, tutumie maneno mazuri, BALI tuwe wepesi kutambua mazuri"
Dr. Abdullah Hasnuu Makame (@dr_makame) 's Twitter Profile Photo

#JUMUA_MUBARAK #Quran_29_58_59 "Ambao WALISUBIRI, na WAKAMTEGEMEA Mola wao Mlezi" Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, KUSHUKURU na KUMTEGEMEA YEYE, na atujaalie mema na mazuri hapa duniani na kesho akhera

#JUMUA_MUBARAK 

#Quran_29_58_59

"Ambao WALISUBIRI, na WAKAMTEGEMEA Mola wao Mlezi"

Tunamuomba Allah SWT atujaalie tuwe WENYE KUSUBIRI, KUSHUKURU na  KUMTEGEMEA  YEYE, na atujaalie mema na mazuri hapa duniani na kesho akhera