sir Jovan (@denesodilo) 's Twitter Profile
sir Jovan

@denesodilo

hekima,upendo na busara ndio ngao yetu watanzania,

ID: 1598387672795516928

calendar_today01-12-2022 18:47:07

5,5K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Tangawizi + Kitunguu saumu→ Kwa kikohozi kikali. Kitunguu maji + Tangawizi → Hushusha cholesterol na kutibu UTI (maambukizi ya njia ya mkojo). Manjano (turmeric) + Asali → Hupunguza uvimbe na maumivu (anti-inflammation). Karoti + Nyanya mbichi →Ni nzuri kwa macho. Juisi

Tangawizi + Kitunguu saumu→ Kwa kikohozi kikali.

Kitunguu maji + Tangawizi → Hushusha cholesterol na kutibu UTI (maambukizi ya njia ya mkojo).

Manjano (turmeric) + Asali → Hupunguza uvimbe na maumivu (anti-inflammation).

Karoti + Nyanya mbichi →Ni nzuri kwa macho.

Juisi
Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Kula Kwa Kadri Mwili Unavyohitaji, Kuwa Makini Kisukari na Presha ni Magonjwa Hatari SANA! Unapooza kwa Kupata Stroke Muda wowote..!

Kula Kwa Kadri Mwili Unavyohitaji, Kuwa Makini Kisukari na Presha ni Magonjwa Hatari SANA!

Unapooza kwa Kupata Stroke Muda wowote..!
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

NI STAMINA AU SIZE YA UUME HUMFANYA MWANAMKE AFURAHIE TENDO..? JE.? Umewahi kujiuliza ni kitu gani hasa humfikisha mwanamke kileleni.? Ni wakati wa kuweka mambo wazi na kufuta dhana potofu zinazoenezwa kwa lengo la kusha watu kutumia madawa ya kukuza uume.. Open Thread 🧵

NI STAMINA AU SIZE YA UUME HUMFANYA MWANAMKE AFURAHIE TENDO..?

JE.? Umewahi kujiuliza ni kitu gani hasa humfikisha mwanamke kileleni.? 

Ni wakati wa kuweka mambo wazi na kufuta dhana potofu zinazoenezwa kwa lengo la kusha watu kutumia madawa ya kukuza uume..

Open Thread 🧵
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

MONDAY AFYA TIPS REPOST KWA AFYA YA MPENDWA MMOJA 🥕🍏. Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa. Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone. Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini. Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍→

MONDAY AFYA TIPS  REPOST KWA AFYA YA MPENDWA MMOJA 🥕🍏.

Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa.

Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone.

Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini.

Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!

Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!

Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!

Nanasi 🍍→
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

BOMU LA ASILI: Siri ya Mababu Inayowasha Nguvu za Mwanaume Bila Dawa bila (Booster)...! Hii Mchanganyiko Hapa Ndio Siri ya Wanaume Imara.... Open Thread🧵

BOMU LA ASILI: Siri ya Mababu Inayowasha Nguvu za Mwanaume Bila Dawa bila (Booster)...!

Hii Mchanganyiko Hapa Ndio Siri ya Wanaume Imara....

Open Thread🧵
Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

“CODE ZA SIRI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME— ASILIA 100%, PASIPO DAWA, NA ZINAZOFANYA KAZI HARAKA!” 🔥🍯🍌 — Ukiijua hizi “COMBINATION” za asili, ukajaribu kwa uaminifu na ukaitumia kwa ufasaha kila siku, unaweza kurejesha nguvu zako za kiume ndani ya wiki 1 hadi 3. ....🧵👇🏾

“CODE ZA SIRI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME— ASILIA 100%, PASIPO DAWA, NA ZINAZOFANYA KAZI HARAKA!” 🔥🍯🍌

— Ukiijua hizi  “COMBINATION” za asili, ukajaribu kwa uaminifu na ukaitumia kwa ufasaha kila siku, unaweza kurejesha nguvu zako za kiume ndani ya wiki 1 hadi 3.

....🧵👇🏾
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

CODE YA LEO: Hii ni Zaidi ya Viagra — Tumia DAKIKA 45 kabla ya GAME.! 🍆💦 Asili mbili zikitumika vizuri, ni nzuri kuliko vidonge (BOOSTER) zenye madhara... Mchanganyiko huu wa Karafuu + Swaumu + Tangawizi ni siraha ya asili ya kuamsha nguvu zako za kiume kwa njia salama na ya

CODE YA LEO: Hii ni Zaidi ya Viagra — Tumia DAKIKA 45 kabla ya GAME.! 🍆💦

Asili mbili zikitumika vizuri, ni nzuri kuliko vidonge (BOOSTER) zenye madhara...

Mchanganyiko huu wa Karafuu + Swaumu + Tangawizi ni siraha ya asili ya kuamsha nguvu zako za kiume kwa njia salama na ya
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wenzangu, kuna siri moja rahisi sana ambayo wengi hamjui... Kipande cha tikitimaji baridi kabla ya kulala – Pamoja na mbegu zake – Kinaweza kubadilisha kabisa afya yako ya uzazi... MAELEKEZO KWENYE COMMENTS..👇

Wanaume wenzangu, kuna siri moja rahisi sana ambayo wengi hamjui...

Kipande cha tikitimaji baridi kabla ya kulala – Pamoja na mbegu zake – Kinaweza kubadilisha kabisa afya yako ya uzazi...

MAELEKEZO KWENYE COMMENTS..👇
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Hizi hapa ni Health Tips bora kabisa za asubuhi kutumia vyakula asilia– Bila sumu wala mafuta mengi... Anza na maji ya moto na limao– Husaidia kuondoa sumu mwilini na huamsha mfumo wa mmeng’enyo... Smoothie ya asili ni dawa safi! – Changanya ndizi, parachichi, spinachi, na

Hizi hapa ni Health Tips bora kabisa za asubuhi kutumia vyakula asilia– Bila sumu wala mafuta mengi...

Anza na maji ya moto na limao– Husaidia kuondoa sumu mwilini na huamsha mfumo wa mmeng’enyo...

Smoothie ya asili ni dawa safi! – Changanya ndizi, parachichi, spinachi, na
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Unaijua (Juisi ya Lozera) Nilini uliwahi kuisafisha damu yako.? Juisi ya Lozera siyo tu kinywaji cha rangi na ladha nzuri, Ni dawa ya asili inayosafisha mwili wako kutoka ndani...! Katika ulimwengu wa vyakula vichafu na hewa iliyojaa sumu za mazingira na viwanda.. Mwili wako

Unaijua (Juisi ya Lozera) Nilini uliwahi kuisafisha damu yako.?

Juisi ya Lozera siyo tu kinywaji cha rangi na ladha nzuri, Ni dawa ya asili inayosafisha mwili wako kutoka ndani...! 

Katika ulimwengu wa vyakula vichafu na hewa iliyojaa sumu za mazingira na viwanda..

Mwili wako
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Huyu kijana mdogo ametekwa na kupotezwa Soka alijua na akasema na bado serikali ya Rais Samia Suluhu ikapuuza na leo Soka hayupo. Sio kweli kwamba tutanyamaza kwasababu ya kutekwa na kupotezwa, kelele itazidi kuwa kubwa. Iko siku wote mnaofanya haya mtasema mbele ya Watanzania

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

Dear God, thank you for this new day and for your constant presence in my life. Grant that I may walk in your peace and wisdom, letting my thoughts and actions be guided by your will and love. Amen

sir Jovan (@denesodilo) 's Twitter Profile Photo

Everything is temporary in this world,hakuna mwanadamu ataishi milele ,sisi sote tutakufa,tutaacha Kila kitu,tulikuja dunian bila kitu na tutaondoka bila kitu,

Everything is temporary in this world,hakuna mwanadamu ataishi milele ,sisi sote tutakufa,tutaacha Kila kitu,tulikuja dunian bila kitu na tutaondoka bila kitu,
Chelangat❤️ (@chelaah__) 's Twitter Profile Photo

The £2 Billion Mark in Kenya UK Trade confirms that the UK remains one of Kenya’s strongest international markets, but it also shows that Kenya has successfully positioned itself as a reliable agricultural and investment partner. #ThePlanIsWorking

The £2 Billion Mark in Kenya UK Trade confirms that the UK remains one of Kenya’s strongest international markets, but it also shows that Kenya has successfully positioned itself as a reliable agricultural and investment partner. #ThePlanIsWorking
sir Jovan (@denesodilo) 's Twitter Profile Photo

Ivi chadema ukiachana na lisu na heche ni kiongozi Gani mwingine ambaye yupo strong? Kwamba hawezi ku betray for any means,

sir Jovan (@denesodilo) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiki kilicho fanyika sio kwamba watu wataingiwa na uoga au ubaridi, Bali wanakua wakakamavu na mioyo sugu, watakua watu wasio na maumivu na wasio na chochote kile Cha kupoteza , endapo wasipo pata relief, wasipo pata faraja , mioyo itakua sugu