schrödinger (@collinskimweri) 's Twitter Profile
schrödinger

@collinskimweri

|Cyber Security researcher| |Engineer|

ID: 1069880176341868545

calendar_today04-12-2018 09:04:46

5,5K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Jisena 金基瑟娜 — au/acc (@kimjisena) 's Twitter Profile Photo

We built Stempu to solve a challenge we encountered ourselves. Say no to printing documents just so you can stamp and scan them again. Generate a new stamp in seconds and stamp your documents on the go. Available in public beta now at stempu.com

We built Stempu to solve a challenge we encountered ourselves. Say no to printing documents just so you can stamp and scan them again. Generate a new stamp in seconds and stamp your documents on the go.

Available in public beta now at stempu.com
Magnetics (MG) (@thisismagnetics) 's Twitter Profile Photo

#FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

21 days daniel. Ambavyo hukukata tamaa na mimi basi na mimi sitokata tamaa na wewe. Huu muda ndio nimejua uhalisia wa watu na sehemu ambayo naishi. Ila nasema hata dunia nzima ikinipa mgongo, mimi nitasimama tena kwa ujasiri nitajipiga kifua mara tatu na kuendelea kukupambania.

21 days daniel.
Ambavyo hukukata tamaa na mimi basi na mimi sitokata tamaa na wewe. Huu muda ndio nimejua uhalisia wa watu na sehemu ambayo naishi.
Ila nasema hata dunia nzima ikinipa mgongo, mimi nitasimama tena kwa ujasiri nitajipiga kifua mara tatu na kuendelea kukupambania.
MdoeTech🏅 (@issa_ally_mdoe) 's Twitter Profile Photo

Hapa haijalishi ni mwaka gani this price kwa such performance specification is too high. Labda kama GPU specification hujazitaja. Ila i5 gen 11 i think it's too high.

Ajira Times (@ajiratimes) 's Twitter Profile Photo

Nafas za paid Graduate Internship Wanahitajika Fresh Graduate East africa Tanzania, kenya, Uganda, Rwanda yaani east africa nzima, Application link kwa comments

Nafas za paid Graduate Internship Wanahitajika Fresh Graduate East africa Tanzania, kenya, Uganda, Rwanda yaani east africa nzima, Application link kwa comments
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Jamaa anakwambia ukuta wa kushoto umeweka picha ya mwanamke mzungu ambaye unamwita “Mama wa Yesu” halafu ukuta wa kulia kuna picha ya msela mmoja Marekani ambaye unamwita “Yesu,” na unawasujudia kabisa😎.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MKATABA WA KINYONYAJI; UDSM NA MLIMANI CITY. Kutokana na makubaliano ya ujenzi wa Mradi wa Mlimani City ulioanza 01.10.2004, ulitakiwa kukamilika 01.09.2006, kwa makubaliano ya mkodishaji (UDSM) na mkodishwaji (Mlimani Holding Limited) mradi haujakamilika hadi sasa. Walioingia

MKATABA WA KINYONYAJI; UDSM NA MLIMANI CITY.

Kutokana na makubaliano ya ujenzi wa Mradi wa Mlimani City ulioanza 01.10.2004, ulitakiwa kukamilika 01.09.2006, kwa makubaliano ya mkodishaji (UDSM) na mkodishwaji (Mlimani Holding Limited) mradi haujakamilika hadi sasa.

Walioingia
Salym (@salymdev) 's Twitter Profile Photo

Pitching about #MualikoApp A Digital Invitation platform for events like Weddings, Kitchen Parties, Birthday Parties and others . Plan your Event and Distribute Digital Invitation card with #MualikoApp through BULK SMS ☎️ +255713268534/0621086214

Akura Fury (@bichwaa) 's Twitter Profile Photo

Blocking grok isn't much of a solution when photos are downloadable and can be reposted with a click. The internet has always been this way, but AI adds fuel to the fire. Sit and rethink your personal policy on media. Both what you post and how you regard posts by others.

The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ) siku ya leo tarehe 15 Mei 2025 limefanya ziara ya Kiutafiti lengo ikiwa ni kupata uzoefu kuhusu namna bora ya uandaaji wa Wahadhiri ambao wanakuwa na sifa za kuweza kufundisha vyuo mbalimbali vya kijeshi nchini. Naibu Makamu Mkuu wa

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ) siku ya leo tarehe 15 Mei 2025 limefanya ziara ya Kiutafiti lengo ikiwa ni kupata uzoefu kuhusu namna bora ya uandaaji wa Wahadhiri ambao wanakuwa na sifa za kuweza kufundisha vyuo mbalimbali vya kijeshi nchini. 

 Naibu Makamu Mkuu wa
Maotora (@maotora_emem) 's Twitter Profile Photo

Dear Tanzanian developers, Hope this finds you well. We are excited to give updates on locations API. While still a WIP, we have Geocoding & Reverse Geocoding down. 🥳 This is just a taste of what our API is capable of. Stay tuned, #locationsAPI ❤️

Dear Tanzanian developers,
Hope this finds you well. 

We are excited to give updates on locations API. 
While still a WIP, we have Geocoding & Reverse Geocoding down. 🥳

This is just a taste of what our API is capable of.

Stay tuned,
#locationsAPI ❤️