#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO

@manaal_ms

"And our Lord does not burden a soul beyond that it can bear". (2:286)

ID: 883399986

linkhttps://bluerecruits.co.tz calendar_today16-10-2012 00:58:54

13,13K Tweet

24,24K Takipçi

415 Takip Edilen

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

21 days daniel. Ambavyo hukukata tamaa na mimi basi na mimi sitokata tamaa na wewe. Huu muda ndio nimejua uhalisia wa watu na sehemu ambayo naishi. Ila nasema hata dunia nzima ikinipa mgongo, mimi nitasimama tena kwa ujasiri nitajipiga kifua mara tatu na kuendelea kukupambania.

21 days daniel.
Ambavyo hukukata tamaa na mimi basi na mimi sitokata tamaa na wewe. Huu muda ndio nimejua uhalisia wa watu na sehemu ambayo naishi.
Ila nasema hata dunia nzima ikinipa mgongo, mimi nitasimama tena kwa ujasiri nitajipiga kifua mara tatu na kuendelea kukupambania.