The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile
The University of Dodoma

@udomtheofficial

The University is located about 8 km east of the city center and is accessible by public transport, which is easily available from the city center.

ID: 1610226089892118530

linkhttp://www.udom.ac.tz calendar_today03-01-2023 10:46:56

797 Tweet

2,2K Followers

21 Following

The University of Dodoma (@udomtheofficial) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ) siku ya leo tarehe 15 Mei 2025 limefanya ziara ya Kiutafiti lengo ikiwa ni kupata uzoefu kuhusu namna bora ya uandaaji wa Wahadhiri ambao wanakuwa na sifa za kuweza kufundisha vyuo mbalimbali vya kijeshi nchini. Naibu Makamu Mkuu wa

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ) siku ya leo tarehe 15 Mei 2025 limefanya ziara ya Kiutafiti lengo ikiwa ni kupata uzoefu kuhusu namna bora ya uandaaji wa Wahadhiri ambao wanakuwa na sifa za kuweza kufundisha vyuo mbalimbali vya kijeshi nchini. 

 Naibu Makamu Mkuu wa