AnyitikePM (@anyitike_pm) 's Twitter Profile
AnyitikePM

@anyitike_pm

Yanga Sc and Chelsea FC fan; Public Health Specialist

ID: 836202511748968448

calendar_today27-02-2017 13:13:09

5,5K Tweet

608 Takipçi

520 Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa mwaka huu Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa 35.1% ambapo kwa ongezeko hili sasa kima cha chini kitapanda kutoka 370000 hadi 500000. Akiongea leo May 01,2025 kwenye Maadhimisho ya

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa mwaka huu Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma kwa 35.1% ambapo kwa ongezeko hili sasa kima cha chini kitapanda kutoka 370000 hadi 500000.

Akiongea leo May 01,2025 kwenye Maadhimisho ya
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Hii hapa habari njema kwa Watumishi wa Umma. Ni nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1. Kima cha chini kitaongezeka kutoka shilingi 370,000/- hadi shilingi 500,000/-. Pia nyongeza nono kwa watumishi wa ngazi nyingine za mshahara. Nikisema KAZI NA UTU!!!!

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

“MTU NI AFYA” inawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi wote nchini! Leo tunatambua mchango mkubwa wa kila mmoja katika kujenga taifa lenye afya, ustawi na maendeleo. Tukiwa pamoja, tutaendelea kufanya kweli na hatutabaki nyuma #MtuNiAfya 🇹🇿 | #MeiMosi2025 | #mtuniafya

“MTU NI AFYA” inawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi wote nchini!
Leo tunatambua mchango mkubwa wa kila mmoja katika kujenga taifa lenye afya, ustawi na maendeleo.
Tukiwa pamoja, tutaendelea kufanya kweli na hatutabaki nyuma 
#MtuNiAfya 🇹🇿 | #MeiMosi2025 | #mtuniafya
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

KILA NYUMBA INATAKIWA KUWA NA CHOO BORA Ni wajibu wa kilaKiongozi wa familia kuhakikisha kuwa nyumba yake inakuwa na choo bora na kukitumia kwa matumizi sahihi. Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Project CLEAR AnyitikePM #choobora #mtuniafya #umeeleweka #kipindupindu

hassan kibiki 🇹🇿 (@kibiki001) 's Twitter Profile Photo

📍Shinyanga 🇹🇿 Ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Shinyanga umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi juni 2025 na shilingi bilioni 48.5 zinatumika katika ujenzi huo. #MamaYukoKazini

📍Shinyanga 🇹🇿 

Ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Shinyanga umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi juni 2025 na shilingi bilioni 48.5 zinatumika katika ujenzi huo. #MamaYukoKazini
Typical African (@joe__bassey) 's Twitter Profile Photo

Captain Ibrahim Traore of Burkina Faso 🇧🇫 was not just invited to Russia 🇷🇺 by President Putin, a private plane was sent to transport him from Burkina Faso, accompanied by fighter jets in the air. All we see here is respect.

Mark J. Mwandosya (@markmwandosya) 's Twitter Profile Photo

My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at, africanbookscollective.com/books/living-w… The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.

My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at,
africanbookscollective.com/books/living-w…
The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.
TBC DIGITAL (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA), Injinia Hersi Said, ameelezewa na Jarida la African Leadership la Uingereza kuwa miongoni mwa viongozi wa mfano katika Soka la Afrika, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo.

Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA), Injinia Hersi Said, ameelezewa na Jarida la African Leadership la Uingereza kuwa miongoni mwa viongozi wa mfano katika Soka la Afrika, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo.
TBC DIGITAL (@tbconlinetz) 's Twitter Profile Photo

Jarida hilo ni moja ya machapisho makubwa duniani linaloangazia watu mashuhuri wanaoleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi, jamii, burudani na michezo.

Jarida hilo ni moja ya machapisho makubwa duniani linaloangazia watu mashuhuri wanaoleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi, jamii, burudani na michezo.
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Serikali inataraji kujenga maabara tatu za taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) katika mikoa ya kimadini Dodoma, Geita na Chunya. Ujenzi wa maabara hizi utaboresha uchunguzi wa madini na kupunguza gharama za uchambuzi nje ya nchi. #MamaAnafanikisha

Serikali inataraji kujenga maabara tatu za taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) katika mikoa ya kimadini Dodoma, Geita na Chunya.

Ujenzi wa maabara hizi utaboresha uchunguzi wa madini na kupunguza gharama za uchambuzi nje ya nchi.

#MamaAnafanikisha