Abdulkarim Omar
@abdulkarimomar3
ID: 3059670489
24-02-2015 18:19:40
1,1K Tweet
639 Takipçi
2,2K Takip Edilen
📍Dakar, Senegal 🚨#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. 📃: IKULU (zuhura yunus )
Hebu panga orodha ya Makipa bora AFRIKA kwa sasa. Kama mdau wa michezo 🇲🇱 Djigui Diarra 🇲🇦 Yassin Bounou 🇨🇲 Andrei Onana 🇸🇳 Edward Mendy 🇪🇬 Mohamed El Sheenawy Tumia TemboCard visa mara kwa mara ujipatie nafasi ya kugharamikiwa na CRDB Bank PLC kila kitu kwenda AFCON
James TupaTupa anasemaga ukiona Arsenal kafungwa, ujue Yanga atashinda kesho yake 😇 kwahiyo nishawapa code pale SportPesa Tanzania muwekeje mkeka