-Mendez(@Sallam_SK) 's Twitter Profileg
-Mendez

@Sallam_SK

WCB Manager IG: sallam_sk, SC: Salaam_SK more info: [email protected]

ID:383139001

linkhttp://www.mjinifm.co.tz calendar_today01-10-2011 10:17:40

32,4K Tweet

98,5K Takipçi

441 Takip Edilen

Follow People
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda amesema ifikapo Jumatatu ya Aprili 15, 2023 atayataja majina ya viongozi, wakiwemo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumchafua Rais Samia Samia Suluhu Hassan mitandaoni.

✍️ D' Mike Presenter 🇹🇿

📻

account_circle
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

MAYELE AUNGANA NA WENZAKE MISRI KUIUA AL AHLY

Nyota wa zamani wa klabu ya @yangasc Mshambuliaji Fiston Kalala Mayele yupo hotelini na wenzake wa Simba Sports Club .

Vipi, mashabiki wa LUNYASI mnatamani MITETEMO ya Mayele pale MSIMBAZI..?
✍🏾 Justinekessy🇹🇿
Mjinifm

account_circle
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza Roundabout kila siku kuanzia jumatatu mpaka ijumaa, kipindi kilicho sheheni mambo mbalimbali yakukuburudisha kukuelimisha na kukusisimua chi ya timu kamili,

🎤 - @ abbyplaatjes
🎤 - @holiness_ulomi
🎤 - Justinekessy🇹🇿
🎤- @ Frank Kashonde

Sikiliza Roundabout kila siku kuanzia jumatatu mpaka ijumaa, kipindi kilicho sheheni mambo mbalimbali yakukuburudisha kukuelimisha na kukusisimua chi ya timu kamili, 🎤 - @ abbyplaatjes 🎤 - @holiness_ulomi 🎤 - @Justinekesy 🎤- @ Frank Kashonde
account_circle
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

Mjini FM kupitia kipindi cha Wasikie leo tunasherekea Wanawake Wa Kitanzania.
Vikundi vya Wanawake kutoka maendeo mbalimbali ya Dar es Salaam vitajumuika nasi pale Terrace - GSM Mall Msasani kuanzia saa 10 Jioni, tukipata bites na burudani ya muziki wa bendi na mengineyo.

Mjini FM kupitia kipindi cha Wasikie leo tunasherekea Wanawake Wa Kitanzania. Vikundi vya Wanawake kutoka maendeo mbalimbali ya Dar es Salaam vitajumuika nasi pale Terrace - GSM Mall Msasani kuanzia saa 10 Jioni, tukipata bites na burudani ya muziki wa bendi na mengineyo.
account_circle
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Samia Suluhu

Heri ya Siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. @SuluhuSamia
account_circle
Mjinifm(@mjinifm) 's Twitter Profile Photo

'🌟 Cheers to a brand new chapter! Wishing you joy, rhythm, and endless tunes in the year ahead. Happy New Year from Mjini FM! 🎶🎉     '

account_circle
Barton max 👹(@Husseinsaidsul1) 's Twitter Profile Photo

Nadhani jamaa anahisi zuchu amewekwa kwaajiri ya kwenda kumfurahisha Lamar ndio maana anataja wasanii ambao wangemfurahisha Lamar lakini waandaaji wanaangalia watu wanapenda nini na sio tukimuweka flan Lamar atasemaje. -Mendez

account_circle
-Mendez(@Sallam_SK) 's Twitter Profile Photo

Sababu ulisahau kueleza muziki ni biashara kama biashara yako hujaifanyia marketing utabakia kuwa mtu wa opinion tu 🤷🏽‍♂️

account_circle
-Mendez(@Sallam_SK) 's Twitter Profile Photo

Tupo sawa sasa hao group la kwanza uliyowataja wakiafuata nachosema itasaidia wawekezaji kuona potential ya ku-Invest kusaidia group la pili waweze kufanikiwa, sababu bado investors Bongo hawaoni mziki kama unalipa kama wanavyoona wenzetu wa Naija 🫡

account_circle