Misalaba Jr(@tpm4g2001) 's Twitter Profileg
Misalaba Jr

@tpm4g2001

Proper ChelseaπŸ’™

ID:1528010041814568961

calendar_today21-05-2022 13:49:38

20,1K Tweets

1,8K Followers

1,9K Following

AhmadπŸ‘£(@rajuQuire) 's Twitter Profile Photo

Naomba kufahamu, kwanini tuna namba kubwa sana ya single Mothers siku hizi. Ni nini chanzo kikubwa cha hii issue?

account_circle
Charming Boy.!(@AlexLyimo5) 's Twitter Profile Photo

β€œ Anacho kutana nacho PSG., Ni Laana ya BARCELONA baada ya Kuchinjiwa Baharini na Refa wao.β€πŸ˜ŽπŸ˜Ž

β€œ Anacho kutana nacho PSG., Ni Laana ya BARCELONA baada ya Kuchinjiwa Baharini na Refa wao.β€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
account_circle
goligani(@goligani) 's Twitter Profile Photo

Tangu BACK BENCHA nije huku MIKOANI nimejifunza mengi sana ila KUBWA zaidi ni ili UTOBOE huku LAZIMA ama umtegemee MUNGU ama uwe MCHAWI hakuna njia ya MKATO wala hakuna KATIKATI na watu wote lazima wakufahamu unachotegemea.
Morning Africa.

account_circle
Master_planπŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@Master_plan88) 's Twitter Profile Photo

Nyakati Tunazopitia sio za Kudumu Kuna Siku zitabaki Kuwa historia....

Twendeni Tukapambanie maisha tunayo yataka.πŸ‘Š

Nyakati Tunazopitia sio za Kudumu Kuna Siku zitabaki Kuwa historia.... Twendeni Tukapambanie maisha tunayo yataka.πŸ‘Š
account_circle
Brave man(@mbalwa_yona_) 's Twitter Profile Photo

Kama Mungu amekuinua basi nawewe jitahid kuinua wengne, katika maisha tujitahid kuwa daraja kwa wengne.

Good morning familyπŸŒ„

account_circle
Charming Boy.!(@AlexLyimo5) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Maisha kweli tuna tofautiana., Kuna Watu wanalia na PSG., Mimi na lia na BOLTON WANDERS Daah..β€πŸ˜ŽπŸ˜Ž

account_circle
MZUNGU PORIπŸ’ͺ(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Unahangaika sana kutafuta hela, kumbe hayo maisha uliyo nayo ndo uliyopangiwa na Mungu😀😀

Good morning joblessπŸ™

account_circle
Trillionaire Kid(@Trillionai85877) 's Twitter Profile Photo

Usimdharau usiemjua au unaemjua. Maisha ni Kama betri la simu Kuna muda inakuwa Haina charge lakin baadae ya muda Inajaa chaji. Ishi kwa adabu ukijua Hilo.

Good Morning Champion. . .

Usimdharau usiemjua au unaemjua. Maisha ni Kama betri la simu Kuna muda inakuwa Haina charge lakin baadae ya muda Inajaa chaji. Ishi kwa adabu ukijua Hilo. Good Morning Champion. . .
account_circle