goligani (@goligani) 's Twitter Profile
goligani

@goligani

*JESUS IS MY SAVIOUR.
*Don't tell me the sky the limit, while there are fingerprint on the moon.
*SIMBA & GRANADA SUPPORTER.
*SON OF AFRICA.

ID: 750243305028550656

calendar_today05-07-2016 08:21:57

204,204K Tweet

67,67K Followers

2,2K Following

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Harmonize siku hizi amekuwa mzembe sana katika ufanyaji wa promosheni.... Nyimbo zake nyingi anazitelekeza ila hii aliitenga sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Na wakati ilikuwa na kila sababu za kufanya vizuri tena njee ya mipaka ya Bongo. Itabaki kuwa ngoma kalii na kolabo kalii ndani ya huu mwaka

Harmonize siku hizi amekuwa mzembe sana katika ufanyaji wa promosheni....

Nyimbo zake nyingi anazitelekeza ila hii aliitenga sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

Na wakati ilikuwa na kila sababu za kufanya vizuri tena njee ya mipaka ya Bongo.

Itabaki kuwa ngoma kalii na kolabo kalii ndani ya huu mwaka
Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

UKIPATA HELA TU UNAKUWA KIJANA UNATOKA UZEENI ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ TUNAPOSEMA TBT TUNAMAANISHA KAMA ZA HIVI ๐Ÿคฃ THREAD...!!! 1.

UKIPATA HELA TU UNAKUWA KIJANA UNATOKA UZEENI ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

TUNAPOSEMA TBT TUNAMAANISHA KAMA ZA HIVI ๐Ÿคฃ

THREAD...!!!

1.
Queen Online Business (@queenonlinebiz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ #QUALITY SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ ~Brand name; JORDAN 13 COURTSIDE๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ ~Size; 40 41 42 43 44 โžก๏ธPrice; 80000/= ~Delivery available ๐Ÿ“Kariakoo ๐Ÿ“ž 0623346245

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ

#QUALITY SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ

~Brand name; JORDAN 13 COURTSIDE๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ

~Size; 40 41 42 43 44 

โžก๏ธPrice; 80000/=

~Delivery available
๐Ÿ“Kariakoo
๐Ÿ“ž 0623346245
Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kile kipindi cha ubora wa "BEN PAUL" katika Game yake hakuwahi kutuchora wala kututolea kazi mbovu.....Simnaikumbuka "UNANICHORA"๐ŸŽถ ??? Production ya Mtu mzima "FUNDI SAMWEL" halafu Video ikasimamiwa na "Nisher" #Rip๐Ÿ’”......Akapewa Shavu Mwamba "JOH MAKIN" ingawa ipo version

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kile kipindi cha ubora wa "BEN PAUL" katika Game yake hakuwahi kutuchora wala kututolea kazi mbovu.....Simnaikumbuka "UNANICHORA"๐ŸŽถ ???

Production ya Mtu mzima "FUNDI SAMWEL" halafu Video ikasimamiwa na "Nisher" #Rip๐Ÿ’”......Akapewa Shavu Mwamba "JOH MAKIN" ingawa ipo version
MZUNGU PORI๐Ÿ’ช (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

๐— ๐—ฆ๐—”๐—”๐—”๐——๐—” ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—ญ๐—ฆ ๐Ÿฑ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ($๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ) ๐—จ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—ผ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—บ๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ โ€œ๐—™๐—ฅ๐—˜๐—˜ ๐—–๐—Ÿ๐—”๐—ฆ๐—ฆโ€ Kama shauku yako ni kujifunza maswala ya CRYPTO,BITCOIN PIA SHITCOIN TRADE Basiโ€ฆ usilipishe

๐— ๐—ฆ๐—”๐—”๐—”๐——๐—” ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—ญ๐—ฆ ๐Ÿฑ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ($๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ)
๐—จ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—ผ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—บ๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ โ€œ๐—™๐—ฅ๐—˜๐—˜ ๐—–๐—Ÿ๐—”๐—ฆ๐—ฆโ€ 

Kama shauku yako ni kujifunza maswala ya CRYPTO,BITCOIN PIA SHITCOIN TRADE

Basiโ€ฆ usilipishe
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Wanangu wa BACK BENCHA leo sikuwa online nilikuwa na ABIRIA wa kumpeleka Dodoma nimeshindwa kuwapa ODDS mnisamehe,vp kuna habari gani leo?

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Katika zile ngoma za Mwanzo ni wazi kuwa "Jaivah" alikuwa akimuhitaji zaidi "Marioo" katika zile ngoma.... Ila katika hii "KAUTAKA remix"๐ŸŽถ ni wazi kuwa mwanetu "Marioo" ameihitaji zaidi hii ngoma, na ni kutokana na OG ya hii ngoma kufanya poa Nigeria {Mtandao wa Shazham ni

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Katika zile ngoma za Mwanzo ni wazi kuwa "Jaivah" alikuwa akimuhitaji zaidi "Marioo" katika zile ngoma....

Ila katika hii "KAUTAKA remix"๐ŸŽถ ni wazi kuwa mwanetu "Marioo" ameihitaji zaidi hii ngoma, na ni kutokana na OG ya hii ngoma kufanya poa Nigeria {Mtandao wa Shazham ni
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

"Beby nipost mimi ni mali yako" tupo nae hapa ANALIA baada ya kumpost MPENZI wake afu akaambiwa FUTA HARAKA SANA. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume, Je, umekuwa ukimwaga haraka, idadi ndogo ya mbegu za kiume au kushindwa kusimamisha asubuhi? Hayo yote ni moja kati ya matatizo ya kutokuwa na nguvu za kiume (Erectile Dysfunction). Twende Sawa ๐Ÿงต, Vipimo: Hormonal Profile (LH, FSH, Oestrogen, Prolactin, na

Mwanaume, 

Je, umekuwa  ukimwaga haraka, idadi ndogo ya mbegu za kiume au kushindwa kusimamisha asubuhi?

 Hayo yote ni moja kati ya matatizo ya kutokuwa na nguvu za kiume (Erectile Dysfunction).

Twende Sawa ๐Ÿงต, 

Vipimo: Hormonal Profile (LH, FSH, Oestrogen, Prolactin, na