Aleโœช (@iamallennm) 's Twitter Profile
Aleโœช

@iamallennm

GOD FIRST
@FCbarcelona Blaugrana @Arsenal @simbasctanzania

|โWallpaper,memes,TECH|

MESSI ๐š๐šŠ๐š—|

ID: 1469722600171470852

calendar_today11-12-2021 17:37:02

48,48K Tweet

6,6K Followers

617 Following

Bonny (@bonifaskiongozi) 's Twitter Profile Photo

HISTORIA KATIKA PICHA Mfahamu Steve Biko young African mwenye roho ya simba Alikuwa na shauku na upendo kwa Afrika. Uzi mfupi sana huu๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Tarehe 12 septemba 1977, miaka 43 kamili leo damu yake ilimwagika kuwapa sauti wengi wetu. Kosa lake pekee lilikuwa kwamba alikuwa dhidi

HISTORIA KATIKA PICHA 

Mfahamu Steve Biko young African mwenye roho ya simba Alikuwa na shauku na upendo kwa Afrika.

Uzi mfupi sana huu๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

 Tarehe 12 septemba 1977, miaka 43 kamili leo damu yake ilimwagika kuwapa sauti wengi wetu. Kosa lake pekee lilikuwa kwamba alikuwa dhidi
Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

Nilizoea kutokulala bila kusikia sauti yake na kuamka niliamshwa na meseji zake ona sasa leo nakosa usingizi kwa sababu yake au nikifanya makosa kuwa wake walimuita fasihi simulizi mali ya jamii nzima na mimi nikataka kuwa wapeke ake kweli mshike sana elimu usimuache aende zake

SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ’ฌ โ€œKuna tatizo kwa Prince Dube. Anapoteza nafasi nyingi uwanjani. Yeye ndio alikuwa shujaa wa mechi kwa bao la ushindi, lakini angeweza kuondoka na mpira kama angekuwa makini. Wakati mwingine ni kwa sababu tumekariri. Kama nafasi zile angekuwa anapoteza Clement Mzize tungekuwa

Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Dear Muslim Brothers and sisters around the globe Nawatakia Heri ya siku ya Maulid ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ

Dear Muslim Brothers and sisters around the globe    Nawatakia Heri ya siku ya Maulid ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ
Iam Salum Ally (@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

Abdulrazack Hamza Beki Mtanzania Tumpe Maua Yake Jamaa Hana Presha Ana Utulivu na Akili Nyingi Uwanjani Hana Mbwembwe Yeye Anacheza Soka tu Namuona Mbali Zaidi๐Ÿค๐Ÿฝ

Abdulrazack Hamza Beki Mtanzania Tumpe Maua Yake Jamaa Hana Presha Ana Utulivu na Akili Nyingi Uwanjani Hana Mbwembwe Yeye Anacheza Soka tu Namuona Mbali Zaidi๐Ÿค๐Ÿฝ