Blessed Tillah (MBARIKIWA)
@tillahblessed
NAMUOGOPA MUNGU PEKEE 📌
ID: 1242572368222007297
https://youtube.com/@blessedtillah 24-03-2020 22:02:04
53,53K Tweet
13,13K Takipçi
228 Takip Edilen
Issa Shivji Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Ni hatari kubwa kwa amani yetu. Mtu akikosea apelekwe polisi na mahakamani. Haki itawale. La sivyo tunacheza na moto utatuangamiza sote. Tujitafakari na Tujisahihishe.