T H O M Y ⚡ (@thomaskjulius) 's Twitter Profile
T H O M Y ⚡

@thomaskjulius

Tech Enthusiast

ID: 1279080146721558531

calendar_today03-07-2020 15:51:21

8,8K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Rasmi hizi ndio jezi mpya za Young Africans SC kwa msimu wa 2023/24. Klabu kubwa na namba moja nchi ikienda kutafuta Ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu🔰 GSMGroupCompanies  SHERIA NGOWI ™ #KlabuYaTaifa #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Zamani ilikua kukuta mtu ana Kitambi basi ni millionaire au mzee Siku hizi kijana akiwa na Vielfukumi kumi Winga Kariakoo Online trader Muuza gege Bodaboda Mangi Anakitambi, Maziwa na Hips Age ya 20s 30s 4s anatumia Mkongo Unamwmbia acha chips, soda,wali na Ugali anafoka🥲

Florida Man (@anonfloridaman) 's Twitter Profile Photo

lynk Lets say you got $100 hit a -50% rug you got $50 Yolo into pump.fun 10k mcap Rugged now you have $25 drop .1 sol on a can't miss ticker that just bonded Add $100 more to your wallet

Almalik Mokiwa (@almalik_mokiiwa) 's Twitter Profile Photo

Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂). Hii ni mifano ya

Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂).

Hii ni mifano ya
criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

Kama unaamini vita huanza kwa sababu ya amani au demokrasia, bado hujui mfumo halisi wa dunia. Na kama hutumii hii Global tension kwenye Trade execution zako, bado hujaelewa mfumo #Thread #Retweet

Kama unaamini vita huanza kwa sababu ya amani au demokrasia, bado hujui mfumo halisi wa dunia.

Na kama hutumii hii Global tension kwenye Trade execution zako, bado hujaelewa mfumo

#Thread #Retweet