Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile
Macha Msemakweli

@msemakweli_m

Learn | Unlearn | Relearn

ID: 1611442117011771402

calendar_today06-01-2023 19:19:01

642 Tweet

245 Followers

36 Following

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Ukila Soseji, Ice cream 🍨 Tambi, Pizza 🍕,Baga, Juice na pombe Kali, Ni Ishara ya UTAJIRI Ukila Kisamvu, Parachichi 🥑, Viazi Vitamu, Mlenda na Magimbi, Ni Ishara ya UMASIKINI Akili tu🤔

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Vipaumbele vyangu 1. Gym 2. Kula Afya 3. Kujifunza Vitu 4. Kuconnect na Watu 5. Kusaidia Watu wengine 6. Kuukimbia Pepo la Umasikini Hivi vitu navifanya kwa Nidhamu kubwa kwani ndio vinanifanya Mimi niwe Mimi

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwanafunzi wangu mmoja kati ya wanaopunguza uzito na kitambi Alikuja siku ananiambia anataka aache Diet kwa muda kwa ana MIMBA Nkajiuliza hivi Ili mtoto akue Kuna hitajika Wali au Ugali, au Pombe, au Ngano? Ndio maana wanawake wengi baada ya kujifungu wanakua na Vitambi

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Tuache Upumbavu 😤 Kisukari sio ugonjwa wa mazoezi Wewe haujawa na Kisukari et kwasababu hufanyi mazoezi Kisukari kinasababishwa na Ulaji wako Mbovu Na utakitibu kwa kubadili namna yako ya ulaji pekee

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Vitu vinavyo kuchelewesha kupungua kitambi kwa haraka 1.Wali 2.Ugali 3.Ngano 4.Pombe 5.Matunda ya sukari 6.Kula mara kwa mara 7. Kutolala vya kutosha Kama unaona ni ngumu kuacha basi jua safari yako ya kupungua itakua ngumu sana

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

TUMALIZE MWEZI NA HII CHALLENGE No Bia🍻 No Wali🍛 No Soda🥃 No Ugali🍚 No Zinaa💑 No Chips🍟 No Sukari🍬 No Ngano🥯 No Ice cream🍨 No Mafuta ya Mbegu🛢️ Funga🍽️ Fanya Mazoezi🏋️ Kula vyakula vya Protein🍗 Kunywa Maji ya kutosha🥛 Lala walau masaa 6 mfurulizo🛌 Follow & Repost

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kama unataka kupunguza Kitambi na Uzito Achana na vyakula hivi 1. Wali🍛 2. Soda🥃 3. Miwa🍡 4. Ugali🍚 5. Chips🍟 6. Ngano🥯 7. Pombe🍻 8. Ice cream 🍨 9. Juice za matunda🍹 10. Matunda ya sukari 🥭 Kabla ya kukimbia vyakula vya Mafuta Kimbia sukari nyepesi kwanza

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Tupo kwenye msimu wa nanasi nyingi naomba sana tujiepushe na hii kitu Iko na sukari nyingi sana hii kitu Tujitahidi sana kukwepa matunda ya sukari 🥭🍊🍍 Hasa hasa sisi ambao Bado tupo kwenye safari ya kupungua

Tupo kwenye msimu wa nanasi nyingi naomba sana tujiepushe na hii kitu 

Iko na sukari nyingi sana hii kitu

Tujitahidi sana kukwepa matunda ya sukari 🥭🍊🍍 

Hasa hasa sisi ambao Bado tupo kwenye safari ya kupungua
Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kama una Kitambi na Manyama uzembe Achana na na hivi vyakula 1.Wali 2.Ugali 3.Chips 4.Soda 5.Ngano 6.Pombe 7. Ice cream 8.Juice za matunda Fanya hii challenge ndani ya siku 16 alafu ujione matokeo

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Mambo 6 yanayo kuchelewesha kukata kitambi 1.Matunda ya sukari 2.Mazoezi bila Diet 3.Msongo wa mawazo 4.Wali,Ugali na Ngano 5.Kutolala vya kutosha 6.Juice za Matunda Jitahidi sana uviepuke hivi vitu Ili safari yaki ya kupungua isichukue muda

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kama una uzito Mkubwa sana mfano 100+ Kuwa makini sana na mzioezi haya -Kuruka kamba❌ -kurukaruka❌ -Kukimbia ❌ Vinginevyo utaishia kwenye kuumiza joint Fanya Mazoezi haya 2 Ili usiathiri mwili wako 1.Kutembea✅ 2.Kuogelea✅ Tafuteni wataalam Wazuri wa mazoezi mtajiua🥲

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Tabia 7 za kuishi kama unataka kupungua kwa haraka 1.punguza vyakula vya sukari na wanga 2.Kula chakula cha usiku kabla ya saa 2 3.Weka malengo ya muda mfupi 4Kunywa maji ya kutosha 5.Fanya mazoezi 6.Lala Mapema 7.Usile asubuhi Baada ya wiki 2 Njoo na ushuhuda

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kupungua hakunaga Shortcut Achana na vyakula vya ovyo Achana na pombe soda Kula milo 1 au 2 Mazoezi Hizo dawa na surgery zitaendelea kuwaua na kama ni matokeo basi ya siku chache unanenepa tena

Kupungua hakunaga Shortcut 

Achana na vyakula vya ovyo
Achana na pombe soda
Kula milo 1 au 2
Mazoezi 

Hizo dawa na surgery zitaendelea kuwaua na kama ni matokeo basi ya siku chache unanenepa tena
Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Unajua Nini kitatokea uliacha kula ugali, wali, Ngano, chips, soda na pombe? 1.Utapunguza kitambi na Uzito Kwa kasi 2.Uchovu wa mara kwa mara Utaisha 3.Njaa za mara kwa mara zitapotea 4.Mood nzuri na kujihusi meepesi 5.Utalala usingizi mzuri 6.Homa zitapotea Follow

Macha Msemakweli (@msemakweli_m) 's Twitter Profile Photo

Kwenye safari ya kupunguza Uzito na Kitambi Mazoezi ni kitu muhimu sana Lakini Chakula (Diet) ni kitu cha msingi sana Kupungua kwa mazoezi bila chakula utatumia muda mwingi, nguvu nyingi na pesa mingi sana Unakua kile unakula