LELLOO 😎 (@thomaskelvinee) 's Twitter Profile
LELLOO 😎

@thomaskelvinee

Digital Journalist.\A Son of a Peasant

ID: 879241684583895040

linkhttps://linktr.ee/thomaskelvinee calendar_today26-06-2017 07:35:27

31,31K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Hamba Kahle Gavana Edwin Mtei Turudi Desemba 1979, wewe ni Waziri wa Fedha. Umepeleka wageni kwa Rais. Rais mwenyewe ni Julius Nyerere. Rais hawataki wageni hao ila wewe unaona ni wageni muhimu kulingana na hali ya uchumi wa nchi wakati huo. Unajua hali ya nchi maana umekuwa

Hamba Kahle Gavana Edwin Mtei

Turudi Desemba 1979, wewe ni Waziri wa Fedha. Umepeleka wageni kwa Rais. Rais mwenyewe ni Julius Nyerere. Rais hawataki wageni hao ila wewe unaona ni wageni muhimu kulingana na hali ya uchumi wa nchi wakati huo. Unajua hali ya nchi maana umekuwa
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Unamuona Mwamba age kama yako au Zaidi, kaja na Mzee wake kupata mbili tatu huku wanatwanga story. Damn, unakumbuka wako ushafukia kitambo. LIFE.

Uncle Fafi (@tanganyikan) 's Twitter Profile Photo

Mwaka jana nilipoenda TRA kuitikia wito wa kujisajili kama mtengeneza maudhui walijaribu kunidadisi kuhusu wengine nikapiga kimya, ila keshokutwa nikienda kwenye makisio wakiniuliza tena nitawaonyesha screenshots zenu matajiri.