The Maskani
@themaskani
An online platform,which is dedicated to amplifying the voices of Tanzanian youth on development Agendas. YouTube Channel 👉 youtube.com/@themaskani
ID: 1711364608466825216
https://www.themaskani.com 09-10-2023 12:55:36
419 Tweet
88 Followers
24 Following
Wiki hii kwenye the maskani tutakua na wataalamu wa biashara za mtandaoni @neema_kaniki na DUKAHURU BRANDS TANZANIA Wakitueleza machache kuhusu umuhimu wa branding na matangazo kwa wafanyabiashara wa mtandaoni. #MasokoYaKidijitali #Jibrand #themaskani
Wiki hii kwenye The Maskani tutaku na Mshauri wa masuala ya Mahusiano winfrida mponzi, tukijadili kuhusu suala la mahusiano kwa ujumla na namna nzuri itakayokusaidia kuvunja mahusiano kwa Amani, endapo mtakua mmeshindwana na mwenzi wako. #KwaheriYaUpendo | #themaskani