winfrida mponzi (@winnienmponzi) 's Twitter Profile
winfrida mponzi

@winnienmponzi

ID: 1689973653725757440

calendar_today11-08-2023 12:15:18

198 Tweet

5 Followers

20 Following

Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Tunapozungumzia maendeleo shirikishi, hatuwezi kuyaona bila kuhakikisha kwamba kila kundi la kijamii linapewa nafasi ya kushiriki na kushika nafasi za uongozi.”—Jennifer Kayombo, Mkufunzi wa masuala ya afya na jinsia #YouthLeadership | #Mulika255

Tunapozungumzia maendeleo shirikishi, hatuwezi kuyaona bila kuhakikisha kwamba kila kundi la kijamii linapewa nafasi ya kushiriki na kushika nafasi za uongozi.”—Jennifer Kayombo, Mkufunzi wa masuala ya afya na jinsia

#YouthLeadership | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Maneno ya kuvutia (‘captions’) yanapaswa kuwa makini na yenye mvuto, huku ‘hashtags’ zikitumika kwa usahihi ili kuongeza mwonekano na ushiriki wa hadhira.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii. #YouthLeadership | #Mulika255

Maneno ya kuvutia (‘captions’) yanapaswa kuwa makini na yenye mvuto, huku ‘hashtags’ zikitumika kwa usahihi ili kuongeza mwonekano na ushiriki wa hadhira.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii.

#YouthLeadership | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

“Mitandao ya kijamii ni zana muhimu kwa kila kiongozi kijana hasa katika kujijengea jina. Kila kijana kiongozi anaweza kutumia jukwaa hili kufanya kampeni za kidigitali.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii #YouthLeadership | #Mulika255

“Mitandao ya kijamii ni zana muhimu kwa kila kiongozi kijana hasa katika kujijengea jina. Kila kijana kiongozi anaweza kutumia jukwaa hili kufanya kampeni za kidigitali.”—Wilbgeorge Bahati, Mkufunzi wa masuala ya Mawasiliano na mitandao ya kijamii

#YouthLeadership | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Washiriki waliohudhuria katika mradi wa Youth Leadership Dodoma nakuonyesha ushiriki wa hali ya juu kupitia mijadala, maoni na ubunifu wao. Ushiriki wao madhubuti ni kielelezo cha ari ya vijana katika kujifunza. #YouthLeadership | #Mulika255

Baadhi ya Washiriki waliohudhuria katika mradi wa Youth Leadership Dodoma nakuonyesha ushiriki wa hali ya juu kupitia mijadala, maoni na ubunifu wao. Ushiriki wao madhubuti ni kielelezo cha ari ya vijana katika kujifunza.

#YouthLeadership | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

📽 SANDE SANA BHAGOGO, Mulika Tanzania inapenda kutoa shukrani za dhati kwa washiriki wote wa programu ya YOUTH LEADERSHIP TRAINING iliyofanyika jijini Dodoma. #YouthLeadership | #Mulika255

Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya washiriki waliopata zawadi kutoka kwenye mradi wa YOUTH LEADERSHIP TRAINING uliofanyika Dodoma, hasa kwa kuwa wa kwanza kutufollow, kulike na kucomment kwenye mitandao yetu ya kijamii. #YouthLeadership | #Mulika255

Baadhi ya washiriki waliopata zawadi kutoka kwenye mradi wa YOUTH LEADERSHIP TRAINING uliofanyika Dodoma, hasa kwa kuwa wa kwanza kutufollow, kulike na  kucomment kwenye mitandao yetu ya kijamii. 

#YouthLeadership | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Kilele cha Wiki ya Vijana 2025 Kitaifa, tunapoadhimisha wiki hii yenye kauli mbiu “Nguvu Kazi ya Vijana kwa Maendeleo Endelevu,” tunatambua nguvu, ubunifu, na mchango mkubwa wa vijana katika kuijenga Tanzania yenye maendeleo na usawa. #WikiYaVijana2025 | #Mulika255

Heri ya Kilele cha Wiki ya Vijana 2025 Kitaifa, tunapoadhimisha wiki hii yenye kauli mbiu “Nguvu Kazi ya Vijana kwa Maendeleo Endelevu,” tunatambua nguvu, ubunifu, na mchango mkubwa wa vijana katika kuijenga Tanzania yenye maendeleo na usawa. 

#WikiYaVijana2025 | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Mulika Tanzania tumefanya kikao muhimu na Maafisa Maendeleo ya Jamii (CDOs) kutoka wilaya za mkoa wa Dodoma, pamoja na viongozi wa vikundi tulivyoviunda kupitia mradi wa Youth Economic Empowerment. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Mulika Tanzania tumefanya kikao muhimu na Maafisa Maendeleo ya Jamii (CDOs) kutoka wilaya za mkoa wa Dodoma, pamoja na viongozi wa vikundi tulivyoviunda kupitia mradi wa Youth Economic Empowerment.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Dhumuni kuu la kikao kilikuwa: ✓ Kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha utekelezaji wa mradi ✓ Kuimarisha uratibu kati ya CDOs, vikundi, na watekelezaji ✓ Kuongeza ufanisi katika kuwawezesha vijana kiuchumi #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Dhumuni kuu la kikao kilikuwa:
✓ Kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha utekelezaji wa mradi
✓ Kuimarisha uratibu kati ya CDOs, vikundi, na watekelezaji
✓ Kuongeza ufanisi katika kuwawezesha vijana kiuchumi

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

🎥 VIDEO RECAP || Shukrani za dhati kwa wote waliohudhuria kikao chetu na Maafisa Maendeleo ya Jamii (CDOs), viongozi wa vikundi vya mradi wa Youth Economic Empowerment, Msajili wa Vikundi kutoka Dodoma, na mwakilishi wa Restless Development. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Zawadi kutoka Mulika Tanzania bado zinaendelea! 🎁✨ Na kupata nafasi ya kushinda ni rahisi unachotakiwa kufanya ni kufollow ukurasa wetu, kulike machapisho, kurepost na kucomment kwa wingi. Ukifanya hivyo mara kwa mara, nafasi yako ya kujipatia zawadi kabambe inaongezeka zaidi!

Zawadi kutoka Mulika Tanzania bado zinaendelea! 🎁✨
Na kupata nafasi ya kushinda ni rahisi unachotakiwa kufanya ni kufollow ukurasa wetu, kulike machapisho, kurepost na kucomment kwa wingi.

Ukifanya hivyo mara kwa mara, nafasi yako ya kujipatia zawadi kabambe inaongezeka zaidi!
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Washiriki wetu kutoka Mulika Tanzania (WAMULIKANIA) wanawatakia JUMA MUBORAK, wakristu wote! 😇🙏 #jumamubarak | #mulika255

Washiriki wetu kutoka Mulika Tanzania (WAMULIKANIA) wanawatakia JUMA MUBORAK, wakristu wote! 😇🙏

#jumamubarak | #mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Our end-of-year dinner was a moment to reflect, appreciate,and celebrate what we have achieved together throughout the year.From shared milestones to meaningful impact, this journey would not be possible without the commitment and passion of everyone. #happynewyear | #mulika255

Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Kupitia sera jumuishi, uwekezaji sahihi, na programu zinazoweka vijana katikati ya maendeleo, tunaweza kubadilisha takwimu kuwa mafanikio. Mulika Tanzania tunaamini kuwa: Vijana si tatizo ni suluhisho, Uwezeshaji wa vijana ni uwekezaji wa Taifa. #YouthEmployment | #mulika255

Kupitia sera jumuishi, uwekezaji sahihi, na programu zinazoweka vijana katikati ya maendeleo, tunaweza kubadilisha takwimu kuwa mafanikio.

Mulika Tanzania tunaamini kuwa: Vijana si tatizo  ni suluhisho, Uwezeshaji wa vijana ni uwekezaji wa Taifa.

#YouthEmployment | #mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati wa kuwekeza kwa makusudi kwa vijana kwa sababu wao ndio chachu ya maendeleo endelevu ya Taifa letu. #VijanaNaMustakabali | #mulika255

Ni wakati wa kuwekeza kwa makusudi kwa vijana kwa sababu wao ndio chachu ya maendeleo endelevu ya Taifa letu. 

#VijanaNaMustakabali | #mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Elimu ni msingi wa ajira bora, ubunifu, uchumi imara na maendeleo endelevu. Bila kuwekeza kwa vijana leo, tunahatarisha kesho ya Tanzania. #ElimuKwaVijana | #mulika255

Elimu ni msingi wa ajira bora, ubunifu, uchumi imara na maendeleo endelevu. Bila kuwekeza kwa vijana leo, tunahatarisha kesho ya Tanzania.

#ElimuKwaVijana | #mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Allah aikubali saumu na ibada zetu, atusamehe makosa yetu, na atujalie rehema Zake katika mwezi huu wenye baraka. Tunawatakia Ramadhani yenye amani na baraka tele. #RamadhanMubarak | #Mulika255

Allah aikubali saumu na ibada zetu, atusamehe makosa yetu, na atujalie rehema Zake katika mwezi huu wenye baraka.

Tunawatakia Ramadhani yenye amani na baraka tele.

#RamadhanMubarak | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

In this season of renewal, may we commit to growth, not only personally, but how we uplift those around us. "From dust we came, and to dust we shall return.” #AshWednesday | #mulika255

In this season of renewal, may we commit to growth, not only personally, but how we uplift those around us.                                                                                             

"From dust we came, and to dust we shall return.”

#AshWednesday | #mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Jumla ya wasichana waliozaa katika umri mdogo 418 wamewezeshwa kupitia mafunzo ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha, Pamoja na kuunganishwa kwenye vikundi vya mikopo ya 10% kutoka halmashauri. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Jumla ya wasichana waliozaa katika umri mdogo 418 wamewezeshwa kupitia mafunzo ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha, Pamoja na kuunganishwa kwenye vikundi vya mikopo ya 10% kutoka halmashauri.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255