Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile
Mstaafu

@tanzyetu

#HumanRights Defender| A leader of People and Freedom Fighter | #TanzaniaNiYetuSote | #TanzaniaKwanza | Patriotism | Finally We Shall All Die

ID: 1928594235659530241

calendar_today30-05-2025 23:28:07

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wenzetu wanafanya siasa sisi tuko mahakamani na kesi zakutosha, ipo siku tutakuwa madarakani na wao watakuwa gerezani maana jinai haiozi..

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Mzee Jakaya analazimisha tu lakini moyoni anajua kuwa Mungu hapendi kinachoendelea na wanachokifanya. Enewei wacha tuone mwisho wa huyo Samuya. #SisiTutaongea

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Nyerere kwa namna fulani ni wa kulaumiwa kabisa. Sasa maana ya kuwa na Tanganyika ni nini? Jamaa wote wametokea nchi jirani kututawala. Rais wa Tanganyika yuko wapi? Kuna rais wa Zanzibar na wa muungano. Kwani Zanzibar iliungana na nchi gani? Ndio maana hakuna ajabu kwa pesa za

Nyerere kwa namna fulani ni wa kulaumiwa kabisa. Sasa maana ya kuwa na Tanganyika ni nini? Jamaa wote wametokea nchi jirani kututawala. 

Rais wa Tanganyika yuko wapi? Kuna rais wa Zanzibar na wa muungano. Kwani Zanzibar iliungana na nchi gani? Ndio maana hakuna ajabu kwa pesa za
Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia mgombea anaongelea mambo ya maiti ujue anategemea vifo kuongezeka. Badala ya kuongeza madawa wewe unawaza maiti. #SisiTutaongea

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku ya watanzania kufurahi. Kuna siku ya watanzania kusherekea uhuru wao. Kuna siku ya kula na kunywa na kucheza. Kuna siku ya kumshukuru Mungu bila kujali dini na itikadi. Siku ambayo mwenyezi Mungu atatuondolea huyu mzee na tukahakikisha hajazimia bali ni mazima. Sisi

Kuna siku ya watanzania kufurahi. Kuna siku ya watanzania kusherekea uhuru wao. Kuna siku ya kula na kunywa na kucheza. Kuna siku ya kumshukuru Mungu bila kujali dini na itikadi. 

Siku ambayo mwenyezi Mungu atatuondolea huyu mzee na tukahakikisha hajazimia bali ni mazima. Sisi
Unstoppable_news (@unstoppablemang) 's Twitter Profile Photo

Uhuru wa Tanzania ni pamoja na kuondokewa na huyu mzee hakuna amani kwa sasa bila kuondoa huyu mhuni wa kimtandao . Ifike mahali wananchi tuamke paza sauti yako kataa wahuni kama waha na genge lao la kina ROSTAM AZIZ kuiba fedha na kusapoti utawala usio kubalika kwa wananchi.

Uhuru wa Tanzania ni pamoja na kuondokewa na huyu mzee hakuna amani kwa sasa bila kuondoa huyu mhuni wa kimtandao .

Ifike mahali wananchi tuamke paza sauti yako kataa wahuni kama waha na genge lao la kina ROSTAM AZIZ kuiba fedha na kusapoti utawala usio kubalika kwa wananchi.
Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

"Tupeleke na helkopita ipite juu ili wananchi wakiiona wakimbilie uwanjani" alisikika kanda mmoja kwenye kikao cha maandalizi. #SisiTutaongea

"Tupeleke na helkopita ipite juu ili wananchi wakiiona wakimbilie uwanjani" alisikika kanda mmoja kwenye kikao cha maandalizi. #SisiTutaongea
Godwin Nehemiah (@gmwakasungula) 's Twitter Profile Photo

Mstaafu Maria Sarungi Tsehai CLUB Magufuli Mange Kimambi Huwa tunaamini JK Nyerere alikuwaga na akili, ila CIA walimzidi na kumshawishi neno Tanganyika lifutike ulimwenguni, Tanga maana yake ya kwanza kwa kishona, Nyika maana yake nchi. So Tanganyika means Nchi ya Kwanza, lingebaki jina hilo kungekuwa na influx ya watalii!!

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Elewa neno mchakato! Bado upembuzi. Bado maandalizi. Bado kutanabaisha kwa kina mambo yanayohitajika kwenye utafiti wa mpangilio wa uandaaji wa vikao vya kijadili namna ya kuanza kupanga kuwa na katiba mpya. OVYO KABISA ,😂😂😂 #SisiTutaongea

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Kweli mifumo imeungana. Akaunti ya Ikulu inapush kuliko ya Chama. Ukute kuna waya unatoka kuzimu mpaka kwenye mifumo pia. Kazi tunayo. #SisiTutaongea

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Humphrey Polepole ametoa muhtasari wa habari na habari yenyewe bado. Uzito ulio kwenye muhtasari kuna watu wanaweza wasiifikie hata habari yenyewe. Hapo kwenye ziara ya mwisho wa Ndg Magufuli Morogoro kuna jambo zito. Jambo zuri ni kwamba wahuni leo wako Morogoro! Wakimaliza tu

Humphrey Polepole ametoa muhtasari wa habari na habari yenyewe bado. Uzito ulio kwenye muhtasari kuna watu wanaweza wasiifikie hata habari yenyewe. Hapo kwenye ziara ya mwisho wa Ndg Magufuli Morogoro kuna jambo zito.

Jambo zuri ni kwamba wahuni leo wako Morogoro! Wakimaliza tu
Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akisalimiana na makada wa chama. Kutoka kushoto ni mgombea mwenza Dkt Nchimbi na katikati ni Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein. #SisiTutaongea

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akisalimiana na makada wa chama. Kutoka kushoto ni mgombea mwenza Dkt Nchimbi na katikati ni Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt Mohamed Shein. #SisiTutaongea