Tanzania Road Roamers (@tanroas) 's Twitter Profile
Tanzania Road Roamers

@tanroas

We roam around the World!

ID: 1444671595860086794

calendar_today03-10-2021 14:32:14

60,60K Tweet

20,20K Followers

191 Following

Tanzania Road Roamers (@tanroas) 's Twitter Profile Photo

Hivi kuchezea mfumo wa VTS kwa kuondoa kifaa kilichowekwa na mamlaka na kuamua kuweka kifaa chako mwenyewe kinacho tuma taarifa za uongo ni kosa ama si kosa? Mbona jamaa zangu kunawakati mnajizimaga Data au mapenzi yanawachangaya? Picha haiendani na maelezo.

Hivi kuchezea mfumo wa VTS kwa kuondoa kifaa kilichowekwa na mamlaka na kuamua kuweka kifaa chako mwenyewe kinacho tuma taarifa za uongo ni kosa ama si kosa?

Mbona jamaa zangu kunawakati mnajizimaga Data au mapenzi yanawachangaya? 

Picha haiendani na maelezo.
kenster (@lex_tarry) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Road Roamers Hv kwaakili yako timamu katarama ni wa kukaa chini aanze kubadilisha VTS? Na kama ni hvyo mbona tofauti ya muda wa kufika ukilinganisha na allys ni chini ya masaa mawili? Ambayo ni kawaida kabsa kwasabab zile gar ni scania automatic zina nguvu kwenye milima na tambaralale pote

Tanzania Road Roamers (@tanroas) 's Twitter Profile Photo

Tatizo haupendi kuambiwa ukweli. Tuna ka ugonjwa ka ku-sugar coat hata mambo ya uongo yawe ya ukweli. Acheni kuchezea vidude tukutane road tuwalaze na viatu. 1. Unachezea kidude 2. Unatoroka stendi 3. Unaliwa😄 Bado unataka huruma? Hatuna msaada na wewe🚮

Tatizo haupendi kuambiwa ukweli. Tuna ka ugonjwa ka ku-sugar coat hata mambo ya uongo yawe ya ukweli. Acheni kuchezea vidude tukutane road tuwalaze na viatu.

1. Unachezea kidude
2. Unatoroka stendi
3. Unaliwa😄

Bado unataka huruma? Hatuna msaada na wewe🚮