TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile
TANNA-Tz

@tanna_tz

Tanzania National Nurses Association

ID: 1264069808406085632

linkhttp://www.tanna.or.tz calendar_today23-05-2020 05:45:21

517 Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile Photo

Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) leo kimefanya matendo ya huruma kwa kuwatembelea wagonjwa na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika Taasisi ya Saratani Ocean Road.

TANZANIA NATIONAL NURSES ASSOCIATION - (TANNA) Wishing all Nurses and Midwives, Health care workers, Health development stakeholders and our beloved clients a HAPPY MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2025.

TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile Photo

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Mr. Mathube akiwa na viongozi wa tawi alipotembelea tawi la KCMC tar. 30.12.2024 kuona maendeleo ya tawi, shughuli za kiuchumi za tawi pamoja na maendeleo ya huduma za Uuguzi na Ukunga.

Ndugu Wauguzi na Wadau wa Maendeleo ya Afya tunawakaribisha katika Kongamano la Kisayansi, Mkutano Mkuu wa 52 na Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani yatakayofanyika mkoani Iringa tarehe 09-12 Mei 2025. Nyote mnakaribishwa.

Ndugu Wauguzi na Wadau wa Maendeleo ya Afya tunawakaribisha katika Kongamano la Kisayansi, Mkutano Mkuu wa 52 na Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani yatakayofanyika mkoani Iringa tarehe 09-12 Mei 2025.

Nyote mnakaribishwa.
TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile Photo

Chama Cha Wauguzi Tanzania - TANNA kwa mara ingine tunakupongeza sana Dkt. Seif Abdallah Shekalaghe kwa kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

Chama Cha Wauguzi Tanzania - TANNA tunakupongeza sana Dkt. Grace Elias Magembe kwa kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.

Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe Januari 23, 2025 akiwa katika Kituo cha Operesheni ya Matukio ya Dharura ya Afya ya Jamii (EOC) Mkoani Kagera ameongoza kikao cha Wataalam pamoja na Wadau wa Sekta ya Afya chenye lengo la kujadili hatua zilizofikiwa kwenye mapambano

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe Januari 23, 2025 akiwa katika Kituo cha Operesheni ya Matukio ya Dharura ya Afya ya Jamii (EOC) Mkoani Kagera ameongoza kikao cha Wataalam pamoja na Wadau wa Sekta ya Afya chenye lengo la kujadili hatua zilizofikiwa kwenye mapambano
TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Wauguzi Tanzania TANNA tunatoa Salamu za pongezi kwa Dr. Ntuli A. Kapologwe kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Africa Mashariki, Katina Kusini (ECSA-HC) Tunakutakia Kila la heri katika majukumu yako.

Chama cha Wauguzi Tanzania TANNA tunatoa Salamu za pongezi kwa Dr. Ntuli A. Kapologwe kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Africa Mashariki, Katina Kusini (ECSA-HC)
Tunakutakia Kila la heri katika majukumu yako.
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA KUISUKA UPYA MUHIMBILI KWA TZS. 1.2 TRILIONI -MIPANGO YAIVA NA HUDUMA ZOTE ZITATOLEWA NDANI YA JENGO MOJA Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757

RAIS SAMIA KUISUKA UPYA MUHIMBILI KWA TZS. 1.2 TRILIONI -MIPANGO YAIVA NA HUDUMA ZOTE ZITATOLEWA NDANI YA JENGO MOJA

Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757
TANNA-Tz (@tanna_tz) 's Twitter Profile Photo

Katikati ni Makamu Rais wa Jumuiya ya Uuguzi ukanda wa ECSACON Dr. Evelyn alipotembelea Banda la Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) katika maonyesho ya wiki ya maadhimisho ya Wanawake Duniani tar. 07.03.25 Jijini Arusha