
tanganyikaone🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇿🇦🇿🇦
@tanganyikaone
Perfect timing
ID: 1887604696099303424
06-02-2025 20:50:18
5,5K Tweet
116 Followers
909 Following



"HATUKUBALIANI NA MAMBO YANAYOENDELEA TANZANIA. Sisi Wote Ni Ndugu. Ni Muhimu Kujua Kitu Kinachofanyika Katika Taifa Jirani Kwa Sababu Moto Kwa Nyumba Ya Jirani Usipochunga Utaingia Kwako": Edwin Sifuna, Seneta Nairobi Kenya Edwin Sifuna LIVE: youtube.com/live/ABQ8xchy_…








Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu akiwa na Kiongozi wa chama cha People's Liberation Party (PLP) cha nchini Kenya, Mheshimiwa Martha Karua SC. Wamekutana leo Aprili 24, 2025 Dar es Salaam baada ya kuhudhuria kesi ya uhaini inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu. #OperesheniLindaDemokrasia









