Eng. Honester Kasilo
@honester_kasilo
A Mother | Civil Engineer (GE) | Tanzanian🇹🇿 | OHS Officer | Board Member - @TasmiTanzania| #WahandisiWanawake| #UjenziTips
ID: 1194638795355959298
13-11-2019 15:31:24
61,61K Tweet
21,21K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Usikubali biashara yako kukwama sababu ya kukosa fedha, fanya maamuzi sasa ya kuwacheki Soft Finance ujipatie mkopo wa fasta ukuze biashara yako. Haina haja ya kusubiri wakati ni sasa #MpangoPesa #SoftFinance
Mambo ya muhimu kuzingatia unapotengeneza maudhui ya kibiashara mtandaoni. ✍ Chagua eneo unalolimudu lifanye kwa ubora ✍ Tengeneneza maudhui mengi kadri iwezekanavyo ✍ Kuwa na muendelezo kwenye jambo moja, ongeza ubunifu Dexline Chigu akitoa maoni kwenye warsha ya #NIKONEKT
Wamiliki wa vyombo vya habari, wana wajibu wa kuhakikisha wanakua mstari wa mbele katika ku-support sera ya usawa wa kijisinsia ndani ya vyumba vya habari. Tanzania Media Women #WomenInMediaTz
Pesa ya vitendea kazi ofisini kwako imepelea na hujui cha kufanya? Ondoa hofu, wasiliana na Soft Finance watakupa mkopo wa haraka ndani ya dk 45 tu na utatue changamoto yako. Usijipe stress kwani #SoftFinance wapo kwa ajili yako. #MpangoPesa